Dr. Slaa na Polepole tumewachoka sasa!

Dr. Slaa na Polepole tumewachoka sasa!

Hakika kitendo cha Dr Slaa na Polepole kuwashambulia viongozi wa ukawa tu na kuaacha viongozi wa ccm,act,tadea,chauma nk sio cha haki na wananchi wameshawachoka na kuwaongezea promo chama hicho.

Dr slaa ambaye hivi majuzi aliamua kuachana na siasa nashangaa bado yupo na ajawacha kama alivyosema.

Rai yangu nikuwaomba wawe balance na unbias wanavyozungumzia wagombea wetu wa urais.

Mlevi wa ngongo huwa haelewi kitu mpka imuua ndiyo anakumbuka alikuwa anaambiwa ukweli Kosa la slaa ni kukuambia Edward hafai basi hivi wewe na m
mimi nani anamfahamu Lowasa zaidi kuliko DR. SLAA NA POLEPOLE? JIBU UNALO MWENYEWE TOKA HUKO KWENYE MAIGIZO UMEPOTEA
 
Back
Top Bottom