Dr. Slaa na Polepole tumewachoka sasa!

Dr. Slaa na Polepole tumewachoka sasa!

Buju

Senior Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
162
Reaction score
53
Hakika kitendo cha Dr Slaa na Polepole kuwashambulia viongozi wa ukawa tu na kuaacha viongozi wa ccm,act,tadea,chauma nk sio cha haki na wananchi wameshawachoka na kuwaongezea promo chama hicho.

Dr slaa ambaye hivi majuzi aliamua kuachana na siasa nashangaa bado yupo na ajawacha kama alivyosema.

Rai yangu nikuwaomba wawe balance na unbias wanavyozungumzia wagombea wetu wa urais.
 
Mi huwa nawasikiliza kupima upumbavu wao had sasa nimeona mzani wao unalingana
 
Hao ni kama muwa,sass unakamuliwa mpaka utamu uishe kisha tupa kule,Ccm watawatupa baada ya uchaguzi NA thamani yao itakuwa imefikia mwisho
 
Nadhani itakuwa umewachoka kwa misimamo yao juu ya ufisadi na ubadhilifu au kuna lingine
 
katerero ya uzeeni noma sana toka kwa bbw mashumbushi
 
Wacha watoe elimu, lowasa anatudanya kuws kondoo wa karafa yuko mlimani, yeye kabeba kisu halafu kuni anatubebesha siye. Tukimuuliza, lowasa kura zetu zipo, na ikulu IPO, sasa ukifika huko ikulu utaleta Mabadiliko gani? Yeye anajibu 'Mabadiliko kwanza, mengine najua mwenyewe'. Tukimwambia basi tudokezee kidogo, anajibu ' nitamtoa babu seya! Aaarh!
 
dah..! Yaani watu wanaongelea mambo ya maana wewe unawaza ya chumbani. Tena unawazia starehe za wengine? You're malade.

lowasa kwanza porojo baadae
 

Attachments

  • 1441533677802.jpg
    1441533677802.jpg
    50.6 KB · Views: 218
Slow Slow na Slaa endeleeni kukemea maovu....achaneni na nyumbu
 
Dogo, uliza yule mchungaji aliyedai lowasa asipokuws rais basi yeye (mchungaji) auwawe, uliza yuko wapi? Acha kabisa, Usimbip Israel.
Hivi nyie akili zenu zikoje? Unamuitaje Dogo mtu ambaye humjui?
BTW yule mchungaji bado yuko safe side! Bado uchaguzi haujakwisha!

Na LOWASSA ndiye Rais wa awamu ya tano!
 
Hakika kitendo cha Dr Slaa na Polepole kuwashambulia viongozi wa ukawa tu na kuaacha viongozi wa ccm,act,tadea,chauma nk sio cha haki na wananchi wameshawachoka na kuwaongezea promo chama hicho. Dr slaa ambaye hivi majuzi aliamua kuachana na siasa nashangaa bado yupo na ajawacha kama alivyosema. Rai yangu nikuwaomba wawe balance na unbias wanavyozungumzia wagombea wetu wa urais.
Kaamua jifanya kikaragosi kuwahadaa watu ETI UONGO UNA UPANDE ,HUKU AKIJUA UKWELI HAUNA UPANDE WA KUEGEMEA ILA WANAOUTAZAMA NDIO HUCHAGUA UPANDE NA NAMNA YA KUUANGALIA HUO UKWELI.
 
Yaani kama star tv mbona mnatuchosha na huyo slaa wenu yaani sasa mnapoteza ubora hata sina hamu tena na star tv
 
Wacha watoe elimu, lowasa anatudanya kuws kondoo wa karafa yuko mlimani, yeye kabeba kisu halafu kuni anatubebesha siye. Tukimuuliza, lowasa kura zetu zipo, na ikulu IPO, sasa ukifika huko ikulu utaleta Mabadiliko gani? Yeye anajibu 'Mabadiliko kwanza, mengine najua mwenyewe'. Tukimwambia basi tudokezee kidogo, anajibu ' nitamtoa babu seya! Aaarh!

Mmeshadanganywa kwa miaka hamsini na zaidi, bado mnaamini kuwa ahadi zao safari hii zitatekelezwa tofauti na walizozitoa miaka yote hiyo? Muhimu yapasa kubadili mdanganywe na mwingine labda maumivu yatapungua
 
Kawaida ya watu wenye akili ndogo na wavivu huchoka haraka.Hata darasanı wale mazuzu ndıyo husinzia ovyo huku mwl akifundisha.Wewe mchovu,rais wako mtarajiwa mchovu, tutapata maendeleo kweli?
 
Back
Top Bottom