Dr.Slaa na Kinana sasa kuripoti kwa Zitto

Dr.Slaa na Kinana sasa kuripoti kwa Zitto

Huyu dogo bwana makampuni ya simu mbona hayakagui

Makampuni yapi? Kama unamaanisha Voda/tigo/airtel hizo ni kampuni binafsi zina utaratibu wake. Hivi vyama vinapata ruzuku kutoka serikalini, kisheria CAG inabidi aangalie mahesabu yake.
 
Hayo Mahesabu ya CHADEMA ni kuangaliwa vizuri sana, hela imekuwa ya kukopeshana, kuolea, kujengea nyumba binafsi, badala itumike kwenye malengo tarajiwa!

Tunawasi wasi n a mahesabu ya CCM manake fedha nyingi inasemekana zilitumika kuwapooza wachina ili mwana wa wmenyekiti asinyongwe kwa kupeleka madawa china, halafu zingine Kinana si ndio anang,olea tembo wetu meno, zakhia megji anajenga kisiwani kati ya Zanzibar na Dar ,Mwigulu nchemba anabeba mafuko kwenda kuhonga CCM diaspora, Zitto fanya kazi yako tuwaone hawa CCM
 
Hapa zitto kanikosha sana kwakuwa anajua chama chake kinaufisadi mkubwa sana unaofanywa na slaa . Dr kazi kwako mngojee naibu wako atakapokuweka chini na kukuhoji. Pia itamsaidia zito kujua pesa za ruzuku ziingiazo katika chama chake zinatumikaje kwakuwa yeye katengwa kama sio mwanachadema vile.
AAH kwa hiyo unatamba kutoa mwito wa vyama kukaguliwa ili uwe front line wewe tumesha kwambia hili nalo utabuma tuu kama la wewe kujifanya umelishwa sumu, mama yako kutishiwa bastola sijui huna uwezo wewe kama wewe kutarget chama kimoja unajua chama chako kila wakati wamekuzaba vibao ukapooza na kupotea kwenye ramani ya ustaa wa kisiasa
 
Endelea kuota.
 
Endelea kuota.
unaota wewe uliyekwenye state of confusion hujawahi kumaliza hoja yeyote unayoleta kwenye public pretty liar and attention seeker, huna mbavu wewe, hata hao usalama wanao kutuma walishakukunja , tuambie 2015 unagombea Igunga au kule kule ha ha ha
 
Huyu dogo Mjanja sana, kusema kote huko aliilenga CHADEMA maana anafahamu kinachoendelea pale!...
Dogo kawachoka CCM manake kawabeba akifikiri chama chake kitakufa yeye kaporomoka kisiasa sasa amelianzisha MACCM na utapeli wa fedha za simu,migodi,Sukita na makampuni 1000 yenye majina feki ya KICCM mwaka huu lazima waumbuliwe Kinana mshahar milioni sitini nape 16 mangula 20 ha ha huku wenyeviti wa wilaya wamepewa magari na mafuta watafute wanakokujua mwaka wa kuumbuliwa CCM
 
Hiyo pesa ni ya walipa kodi, ni lazima wakaguliwe ili kujua pesa ya umma inatumikaje!
 
Ni kutokana na kutokaguliwa kwa pesa za ruzuku kwa vyama vya siasa kamati ya PAC imemuagiza msajiri wa vyama vya kusitisha ruzuku kwa vyama vyote mpaka watakapo kaguliwa na CAG
source channel ten habari.
 
mods nisaidieni ku edit heading hilo neno 'yaagaziza' lisomeke 'yaagiza'..

Cc invisible.
 
Ni kutokana na kutokaguliwa kwa pesa za ruzuku kwa vyama vya siasa kamati ya PAC imemuagiza msajiri wa vyama vya kusitisha ruzuku kwa vyama vyote mpaka watakapo kaguliwa na CAG
source channel ten habari.
hapo kazi ipo, hivi nani mwenye mamlaka ya kuagiza kusitisha hiyo ruzuku, kamati ya PAC AU msajiri?
 
Hapa zitto kanikosha sana kwakuwa anajua chama chake kinaufisadi mkubwa sana unaofanywa na slaa . Dr kazi kwako mngojee naibu wako atakapokuweka chini na kukuhoji. Pia itamsaidia zito kujua pesa za ruzuku ziingiazo katika chama chake zinatumikaje kwakuwa yeye katengwa kama sio mwanachadema vile.

ccm ni 50 bilion cdm 9 bilion tuone nape alipewa ngapi chriss Lukosi alipewa ngapi kununulia kitalu cha mbao mafinga.
 
Makampuni yapi? Kama unamaanisha Voda/tigo/airtel hizo ni kampuni binafsi zina utaratibu wake. Hivi vyama vinapata ruzuku kutoka serikalini, kisheria CAG inabidi aangalie mahesabu yake.

Makampuni binafsi yenyewehayakaguliwi...labda la muhimu unisaidie kusema yako chini ya kamati gani ili tuishinikize yalipe kodi
 
WanaJF,

Kuna umuhimu gani wa kuwa na vyama vingi vya siasa visivyo na tija kwa wananchi ambavyo vinachangia kumnyonya mlalahoi kwa kupewa ruzuku itokanayo na kodi za wananchi? Mheshimiwa Zito Kabwe kasema toka mwaka 2010 vyama vya siasa nchini vimejinyakulia ruzuku inayokadiriwa kufikia shilingi bilioni 67 toka serikalini ambazo mpaka sasa hazijakaguliwa na mamlaka husika!

Tunaibiwa.............!!!!
 
Hatuna namna yoyote ya kuvinyima ruzuku hiyo maana mfumo tulionao sasa unaruhusu vyama vingi,sasa vyama vingi n pamoja na hivyo vyama vidogovidogo.
 
Ni kutokana na kutokaguliwa kwa pesa za ruzuku kwa vyama vya siasa kamati ya PAC imemuagiza msajiri wa vyama vya kusitisha ruzuku kwa vyama vyote mpaka watakapo kaguliwa na CAG
source channel ten habari.

Kuagiza kusitisha ruzuku,sidhani kama ni sahihi.Agizo hili la kamati ya zitto kama litatekelezwa,litaviathiri vyama vya upinzani zaidi,kwani havina vyanzo vingine vya mapato.
 
Back
Top Bottom