Dr Slaa na CHADEMA walikuwa na agenda ya siri (must read)

Humu ndani kuna watu ukisema ukweli khs chadema wanaweza ht kukupasua,hawataki kabisa kusikia uovu wa chama hiki,wao wapo kwenye ubishi tuuu na ushindani wa vichwa maji,nina wasiwasi mwisho wakuu wao watawahalalishia ndoa za jinsia moja na watakubali kwa vile vyama vya democracy vyooote duniani vinakubali ushoga,mfano wa chama cha david cameron UK,shauri yenu
 
Chadema hawana uzalendo kwa taifa letu; chama hiki kimeweka mbele maslahi ya viongozi; Dr. Slaa alikurupuka,amejirudi, leo watatoa taarifa ya kuunga mkono RASIMU

Dr Slaa huyu huyu ambaye tumjuae au unamuongelea Babu gani???
 

Mimi ninachoshangaa ni kwamba CCM tokea mwaka 1995 wamekuwa wakijinadi kwamba katiba iliyopo inatosha, inafaa na mambo mengi, uchaguzi umeisha wanaunga mkono kuundwa katiba mpya au ndo niangusage sambi sako mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…