Hv chadema wapo wapi muda kama huu?me sielewi kwann hawajaanda maandamano mpk saiv,zaidi ya siku 7 za mgomo wa mafuta??<br />
<br />
au wao maandamano wanaandaa kma wakiwa wanataka madaraka tu mfn kule arusha na suala la umeya? Suala la jailo wapo kimya suala la mafuta wapo kimya,jaman mananiangusha chadema,andaeni maandamano jmn tuwashinikize hawa wahuni watoke madarakani,imefika muda tuwe kama watu wa london kwa kuchoma hivi vituo vya mafuta na mali za mafisdi pai. Ni kwa ujinga wetu watanzania ndo mana ccm wanatuendesha hv,we rais kalala hata hajaongea kitu mwezi mzima na chadema nao wapo kimya jaman amkeni tunazidiwa mpk na wamalawi?