shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
hata mimi hujiuliza sana kwanini Newyork kumeendelea kuliko montana au Nevada.Hebu wakuu tuwekeni ushabiki wa vyama pembeni kisha tusaidine jibu la swali hili; Hivi ni kwa nini serikali toka uhuru haikujikita katika kuleta maendeleo nchini kwa kuzingatia usawa katika mikoa yote,wilaya zote na kanda zote! kinyume chake baadhi ya mikoa waliiendeleza zaidi ya mingine? Nimejaribu kufanya tathmini ya mitaa iliyo mingi Mtwara mjini; nyumba zake zina hadhi duni kuliko hata nyumba za kijijini kwetu huko pembezoni kabisa mwa mkoa mmoja hivi hapa hapa Tanzania.Kwa nini hii ilikuwa na iko hivi?
Wewe ni kati ya wale wanaosikia jina la Dr Slaa mapepo yanalipuka eti!!!!!Huyu naye apunguze unafki kidogo,lakini ndiko kwenye siasa panamfaa, maana dini ilimshinda pinda alikwenda mtwara akaa nao na kufikia muafaka na rais ali adress issue hii kwa public through speech yake ya mwezi,sasa tunataka wafanye nini zaidi? Jk alisema kama kunakuwapuuza watu wa mtwara basi yeye atakuwa mtz wa mwisho kufanya hvyo. Huyu slaa aangalie sana kauli zake maana ikitokea bahati mbaya wakaingia ikulu watu wanataraji mabomba ya maziwa Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Ngoja amjue mkeo ndio utajua ni mpendwa au mchukiwaWangeweza wangemtia hatiani. tatizo ni pakuanzia. mzee Mlema alikuwa anasomewa hadi mashitaka 18 wodini. ameishia kulamba miguu ya mafisadi. ee mungu mwepushe na balaa hilo mpendwa DR. Wetu.
KATIBU Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais
Jakaya Kikwete anapaswa kuomba hekima kwa Mwenyezi Mungu kutokana na
matukio yanayotokea sasa nchini.
Alisema hali inayotokea sasa ni matokeo ya wananchi kupuuzwa na
kutokusikilizwa katika suala zima la uwekezaji unaofanyika sehemu
mbalimbali za nchi. Dk. Slaa alitoa kauli hiyo jana katika kijiji cha
Giroda Babati vijijini, wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika
ziara yake ya siku tisa ya ujenzi wa Chama mkoani Manyara.
Kabla ya kutoa kauli hiyo Dk. Slaa aliwaomba wananchi wasimame kwa muda
wa dakika moja, kuomboleza vifo vilivyotokea mkoani Mtwara.
Aliongeza kuwa kuendelea kuwapuuza wananchi wa Mtwara ni kuendelea
kucheza na jipu linalopaswa kutumbuliwa na kwamba njia sahihi ni kukaa
na kuwasililiza wananchi katika uwekezaji na kufikia muafaka pasipo
kutumia nguvu. Alisema wanachotaka wananchi wa Mtwara ni kujua namna
watakavyonufaika kwa kile alichoeleza kuwa katika uwekezaji wowote
wanufaikaji wa kwanza wanapaswa kuwa wananchi.
Alisisitiza kuwa katika hali ya Mtwara kulihitajika busara za kawaida
za kutatua msingi wa tatizo badala ya wananchi kupigwa mabomu, risasi na
kisha kukamatwa.
Ni jambo la aibu kuwapiga mabomu wananchi wanaodai kunufaika na
rasilimali za nchi yao hapa kunahitajika elimu ya kuwafahamisha haki zao
ni zipi na siyo mabomu.,alisema Dr Slaa.
Source:Tanzania Daima.
watu wametumia milipuko kulipua madaraja bado anataka wafumbiwe macho.?afterall polisi wanatumia mabomu ya machozi kipi cha ajabu hapo,teargas zinapigwa hata wallstreet .Hana busara huyo Katekesta wenu! ufanye nao mazungumzo wanamtwara mara ngapi? na waelimishwe mara ngapi? na unaposema wasipigwe mabomu kwa nn wao wachome nyumba za watu binafsi? hao watu binafsi ndio waliowanyima gesi? We Silaha jibu kwanza haya ndio uendeleze propoganda zako za siasa zenu za matukio!
mwenzio Ritz na ZeMarcopolo wameamua kurudi CDM baada ya kuona buku 7 haina thamani ya maisha ya watanzania wewe bado unahangaika lumumba?
Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???
Tatizo nyie vijana wa Bavicha mnapenda kuropoka sana kama kiongozi wao Dr Slaa.
Watu wanachoma nyumba za makazi ofisi magari polisi kuwadhibiti Dr Slaa unasema wamepuuzwa lakini watanzania wapenda amani wameishakushtukia toka aseme watahakikisha nchi aitatawalika tena.
laana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
Hebu wakuu tuwekeni ushabiki wa vyama pembeni kisha tusaidine jibu la swali hili; Hivi ni kwa nini serikali toka uhuru haikujikita katika kuleta maendeleo nchini kwa kuzingatia usawa katika mikoa yote,wilaya zote na kanda zote! kinyume chake baadhi ya mikoa waliiendeleza zaidi ya mingine? Nimejaribu kufanya tathmini ya mitaa iliyo mingi Mtwara mjini; nyumba zake zina hadhi duni kuliko hata nyumba za kijijini kwetu huko pembezoni kabisa mwa mkoa mmoja hivi hapa hapa Tanzania.Kwa nini hii ilikuwa na iko hivi?
anatisha kwa kuvunja ndoa ya ccm na cuf huko Mtwara!!!Ni jembe kwa wake za watu tena anatisha kwa kuvunja ndoa za watu
Hiyo ya kusimama dakika moja ni mbwembwe ya kisiasa tu, wizi mtupu....unatoa kauli tata na za kichochezi halafu unawahadaa watu eti wasimame dakika moja, mbona umeliasi kanisa???
Weka mbali na wake za watu
bado tunatafuta ushahidi wa kujilidhisha tutamkamata tuta mweka ndani akutane na rwakatale
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
ndugu embu tumia akili uskurupuke tuu kma una hoja kaa kimya dr slaa akuhasi bali alijiuzulu kutokana na sheria za kanisa katholichuyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.