Dr. Slaa Msikivu, Mfano wa kuigwa

hivi wale wahadhiri wanaoitisha maandamano ya kudai mou na kanisa uvunjwe na kutaka mahakama ya kadhi, ni wahadhiri wa kitu gani na wamesomea nini na wapi? Education qualification zao ni zipi?

Just curious???!!!
 
hivi wale wahadhiri wanaoitisha maandamano ya kudai mou na kanisa uvunjwe na kutaka mahakama ya kadhi, ni wahadhiri wa kitu gani na wamesomea nini na wapi? Education qualification zao ni zipi?

Just curious???!!!

Jibu ni madrasa, kwao falsafa ni elimu dunia haiendani na elimu ya Mungu.
 
Dr Slaa ni mwiba unaoumiza makanjanja wote wa CCM,
Dr. Slaa, katika sikukuu hizi za mwisho wa mwaka mimi binafsi nitakuwa na vikao na wazee wa koo saba zilizopo near my boma, vikao hivi ni kuhamasishana juu ya ukombozi na harakati za kumtoa mkoloni mweusi.
Kwa sababu niko kilimanjaro nitawakumbusha wanaboma hawa kuwa Nape ambaye ni muenezi wa CCM aliwai kusema hawezi kushirikiana na wachaga hivyo hii ni rai kwa wachaga na wajanja wa kaskazini kuachana na CCM coz Nape kasema hawaitaji kabisa.
Katika sikukuu ya mwaka mpya nitafanya kikao cha boma na kuwapa rai wahusika kuwa kama kuna mwanachama wa CCM ktkt hili boma langu itabidi atoe maelezo kwa nini asiame hapa bomani.
Dr Slaa nakuamini na 2015 nimejiandaa kwa lolote ili mradi heshima iwepo.

Burning and lotting is my second option.
 
Mdanganyeni2 awape tafu ya kuvuta watu kwenye mikutano kwa staili yake ya kuongea uwongo,, lakini wakati ukifika , kwanza kikumbo atakachokumbana nacho ndani ya chama chake kabla 2015 cyo kdg..lazima atambue hili ingawa c lazima aamini hili... Kwa ujumla hasa sifa za kutatua matatizo yanayolikumba taifa laTANZANIA..
 
Dr.Slaa anasumbua vichwa vya mafisadi na vilaza wanaoishi kwa mazoea. Ndugu yangu Topical, Dr.Slaa sio level ya wahadhiri wa madrasa wanaotaka kuandamana kesho. Falsafa imelala pale na kamwe usifikiri ni ule udokta wa kupewa na shemeji zako wakifurahi. Yule kasoma.

Napendekeza Mufti ajaye awe Mh.Zitto Kabwe ili na sisi tusio na hospitali na vyuo vikuu angalau kwa mara ya kwanza tuongozwe na mtu aliyevuka form 4, au wadau wa mahakama ya ndoa mnasemaje?
 
Kikwete anaudaktari gani jamaniiii tulisha ongozwa na akina alhaj mpaka nchi almanusura iuzweeee
 

kuhusu mufti mmeenda mbali hapo, hatuhitaji digree Ni Elimu ya dini pia busara na hekima.
 
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???

Tafuteni msomi wa elimu dunia bana

As your name implies so is your understanding. You know things topically.

Umefanya makusudi kutaka kuigonganisha mada hii na maslahi yako ya kidini. Maana hata Butiku aliwaambia "CCM ndiyo vinara wa siasa za udini"

Ni nani mwenye akili timamu na elimu bora ya kawaida atakaye kubali kuongozwa na mtu aliyesoma elimu dunia?

Kawadanganye wasiojua, huwezi ukasoma elimu dunia usijifunze uchawi/uganga wa majini

Kama jambo unalifahamu juu-juu, basi nyamaza kimya watu wasije kugundua mapema wewe ni maamuma.
 
By the way, Alhaj Sulleiman Kova amepiga marufuku yale maandamano ya walimu wa madrasa yaliyokuwa yafanyike kesho. Sasa kama kuna mwanaume anathamini ndoa zaidi ya afya ya mifupa yake na aandamane tuone.

Wameambiwa kwanza wapeleke vyeti vyao vya shule ndio waruhusiwe kuandamana. Hii inatokana na Sheria mpya ya Maandamano ya Mwaka 2011, Kifungu 8A, Ibara ya 13 kinachozuia ushiriki wa maandamano kwa mtu yeyote ambaye hajafikia elimu ya kidato cha 4 kwani uwezekano ni mkubwa kuwa atakuwa anaandamana bila kujua anaandamania nini. Sasa imedhihirika kuwa hawa wahadhiri wenyewe ni STD 7 Leavers, hata shule za kata hawajahitimu.

Tafadhali usinibishie kama wewe sio mwanasheria.
 
kwanini wasimpe barubaru au mohamed said u-mufti wa tz?? Hawa inasemekana wamesoma sana hawa.
 
kuhusu mufti mmeenda mbali hapo, hatuhitaji digree Ni Elimu ya dini pia busara na hekima.

Na hiyo ndio tofauti yetu. Unapokuwa na kiongozi wa dini ambaye hana shule, dini inabakia kuwa mzigo badala ahueni kwa waumini. Hapo ndio utaona kwa nini leo tunatumia muda kujadili MoU kwa kuilinganisha na Kadhi Court. Kiongozi wa dini asiyesoma hatojua kubalance mahitaji ya binadamu kwa mwili na roho.

Ukikosa elimu huwezi kuwa reasonable. Je kuna sababu yeyote ya nyinyi kutokupenda kuongozwa na watu waliosoma? Je kuna ukweli kwamba ukienda darasani hutajisikia kamwe kuongoza dini yenu? Je ni kweli kuwa ili uwe na mafanikio ktk kuongoza dini yenu lzm uwe na mambo fulani fulani ambayo nikiyataja hapa yataleta mzozo? Je ni kweli elimu ya duniani ni adui yenu? Je ni kweli dini yenu inapingana na yale mambo yaliyokuwa yakifanyika pale mwembe chai pembeni ya BP?
 
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???

Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
 
MWEEEEEEEEE!!!Akili yako ndipo ilipoishia kufikiri,unastahili kuhurumiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…