GAMA LUGENDO
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 131
- 15
I really doubt if you're independent thinker!Inakuwaje unaamini matatizo ya TZ wanaopaswa kupelekewa ni EU,USA na wazungu wengine?!?Thread yako inaonyesha how much wewe ni mtumwa wa fikra mgando,inawezekanaje watu kwa wingi wao wakaanzisha move bila kiongozi/viongozi?Tafiti kabla ya kurusha hoja otherwise utajikuta unaandika PUMBA na kukaribisha matusi.
Dr. WSlaa na Mh. F. Mbowe, nimefuatilia kwa karibu mbinu mnazo tumia ili kukipa umaarufu CDM, likiwapo hili mnalofanya kwa wakati huu. Tatizo ninaloona na wale waliosoma theory of games, wanaona udhaifu mkubwa au kutokuwapo ma-strategists wazuri CDM. Sababu za kusema hivyo ni kama zifuatazo:So far naona niishie hapo. naomba nieleweke kwamba i am an independet thinker so I hate baadhi wana JF wanaopenda kutukana wenzao ni vyema mtu ukajibu hoja ndio utakisaidia chama chako na sii kukilinda kwa matusi. thanks an I am out.
- Mnataka wananchi wawaunge mkono kuandamana nchi nzima kama walivyofanya Tunisia, Egypt, Libya na nchi nyinginezo za kiarabu ili kumng'oa JK na serikali yake madarakani, kwa ajili ya kupinga hali ngumu maisha kwa wananchi, ufisadi na sababu nyingine nyingi. Ni kweli serikali ina mapungufu hayo, na wananchi woote wanajua. Tatizo ni kwamba, ni kwanini Wewe Dr. Slaa na Mbowe ndio muwaambie si wanayajua matatizo yao wenyewe??
- Kama ni kufuata mfano wa Tunisia, Egypt, Libya, Hivi huko kwao kuna mtu au watu mithili ya Slaa, Mbowe au for that chama kama CDM kilicho waambia watoke mtaani kuandamana??? si wametoka wenyewe hamna wa kuwaambia fanya hiki wala kile wametoka na lao ni moja serikali itoke na wamefanikiwa!!
- Katika mila na desturi zetu za kiafrika huwa tunashirikiana katika shughuli mbali mbali za kijamii ikowemo misiba na sherehe mbali mbali, katika msiba mara nyingi kuna waombolezaji wa aina tatu, wanandugu mara nyingi huwa wanalia kwa huzuni na ni rahisi kuwa gundua, kuna marafiki na majirani, lakini kuna watu wengine tu hulia kwa makelele saana hata kupita ndugu wa marehemu, CDM wanalia kama hilo kundi la tatu!! kwa nini? kwa nini tusilie pamoja kama wana ndugu (CUF,TLP,NCCR,UDP n.k) kwa nini CDM msiba wetu sote Watanzania wanalia kwa makelele? lipo tatizo hapo!
- Kuna vurugu zilitokea Arusha watu wakapoteza maisha, story zikawa nyiiiiingi ila watu wa Arusha pamoja na uongozi wa CDM hasa Slaa wanajua sababu ya hizo vurugu, Police kwa upande wao wametoa utetezi wa video ya matukio yote kwenye vyombo vya habari, CDM (Slaa) ikaahidi kujibu mapigo na kweli amejibu cd ziko sokoni!!! zinauzwa tena kwa Mujibu wa Mh. Regia Mtema, zinauzwa sh. 6000/=, kwa nini CDM iuze kanda mtaani badala ya kupeleka ubalozi wa EU, Wingereza, Marekani, au kwingineko kokote kuonyesha jinsi TZ isivyo kuwa democratic state ili CDM ipata hiyo sifa inayotaka? na pesa ya hiyo filamu inaenda kwa nani?
- Hivi CDM wanafikiri kama serikali ya CCM itapinduliwa kwa maandamano wakati watu watalifananisha hili na yale ya Tunisia, Egypt, Libya!! , this is being naive!!! maana itaonekana ni CDM na Slaa na wamepindua nchi baada ya kushindwa uchaguzi mwaka jana!! hivyo CDM haiata kuwa imeingia madarakani kihalali wala kidemokrasia!! hili mbona liko wazi??.
uko sawa kwa upande wa CCM, siku moja nilikwa vijijini nikamkuta mkulima anaishi mahali ambapo mnara wa TIGO uko karibu na nyumba yake yaani mita 7 hivi. Nilimuuliza unajua madhara ya hii kitu, akajibu hajui. Si watanzania wote wanajua haki zao na si viongozi wote wanaitakia mema Tz. Naimani kabisa wataalaam wa sayansi TIGO wanajua madhara ya minra kuwa karibu na jamii, lakini kwa sababu hawaumii wao na ndugu zao bali wanapata kuwanyonya hao waliomo kwenye athari hizo.Na wakijagungua basi watakuwa wavujifu wa amani. Cdm imegundua ufisadi mwingi basi wamekuwa wavunjifu wa amani kama vile huyo mwanakijiji anayeishi yeye na famila yake kwenye mnara wa TIGO. Inabidi usalim amri iwapo wakuu wanapata maslahi hapo na wewe na generation yako mkiteketea duniani isibaki hata chembe yenu moja.
BWANA NYANTELLA ninakushauri uwe unajaribu kuelewa issues objectivelly and in a broader thinking before you put forward you arguments to this forum.I would like to succintly respond to some of your arguments which contain some disturbing logical flow.
(1) Ni lazima uelewe theories za revolution na concept of peoples' power.Katika mabadiliko yote yaliyowahi kujitokeza, Refer France, Italy revolutions etc) kulikuwa kuna leading forces ambayo watu walipata leadership na kuonyeshwa cha kufanya in the entire cause for justice.Hata ukiangalia hivi sasa kule LIBYA freedom fighters especially pale Benghazi yalipoanzia mageuzi wamemteua waziri wa Gadafi aliyejiuzuru Mr Mustapha ili awe kiongozi wa liberation council.So hapa Tanzania mageuzi ya kweli yanaonekana kuongozwa na CHADEMA chama ambacho kina the best brains, pragmatic thinkers, and vibrant strategists.Kwa kifupi ni lazima pawe na leadership to initiate the cause for justice, and that is exactly what Dr Slaa, Mbowe and the entire contigent of CDM leadership is doing right now.
(3) Issue yako ya cooperation among the opposition hapa Tanzania haiwezekani.Vyama vya upinzani vilivyopo hapa vina falsafa tofauti, vision and mission vile vile vinatofautiana.Na ujue kwamba ndani ya vyama hivyo vinavyojiita vya upinzani kuna ambavyo ni mapandikizi au puppets wa ruling CCM, na hilo tunalijua fika, labda kama wewe ndo you are not aware au you simply ignore the facts.
In conclusion, ninapenda kukuhakikishia kwamba CDM is right in its cause, they have very powerful and strong arguments ambazo umma wa Tanzania unazikubali, na vile vile CDM have the alternatives on how to get things done.Lastly ninakushauri usome MWANANCHI YA LEO JUMAPILI front page usome ili uone ushauri ambao waziri mkuu Sumaye amewapa CCM kuhusu namna ya kudeal na eathquake ya CDM.
Kitu chochote lazima kiwe na initiator kisha catalyst kabla hakijawa kitu kamili, walovyoanza CDM kuna watu walibeza wakasema waTZ hawana guts hizo ss inaonekana wamegundua ni moto mbaya wa nyikani ulowashwa,Wa-Egypt hawakuingia barabarani wenyewe unajua roles walizo-play kina al baradei (former UN nuclear chief).
Revolution ni sacrificial naelewa ww Chief Nyantela unaweza ukawa independent na una vijimali vyako ngoma ikiwaka u will lose everything! unaogopa! na huo ndo ukweli, do we TZ deserve this?kuna sababu ya kukaa kiza?,kuna sababu yakuuziwa gas 44000 wakati yetu tunayo yakumwaga? sukari je? kumbe na kagera nao wananunua 2000!. NJAA ZINAUMA SAAANA!
Kwanza nikupe pole kuwa hujui unalolisema, ila watakuja kukujibu kama umeanziasha thread kwa malengo ya kupata pages tatu au nne hivi. Pili unachoongea wewe si kigeni kabisa, maandamano ni haki ya kikatiba, mwenye kujua motive ya maandamano ni muandamanaji ambaye huto dukuduku kwa njia ya mabango na maongezi so far hakuna sehemu niliyoona inataka JK ang'olewe kwa nguvu. Kusema lengo ni kama la Egypt au Hizi ni hoja mufilisi kwa watu waliofilisika hoja kwa kuwa hawana majibu ya maswali magumu wanayoulizwa.
Kitu chochote lazima kiwe na initiator kisha catalyst kabla hakijawa kitu kamili, walovyoanza CDM kuna watu walibeza wakasema waTZ hawana guts hizo ss inaonekana wamegundua ni moto mbaya wa nyikani ulowashwa,Wa-Egypt hawakuingia barabarani wenyewe unajua roles walizo-play kina al baradei (former UN nuclear chief).
Revolution ni sacrificial naelewa ww Chief Nyantela unaweza ukawa independent na una vijimali vyako ngoma ikiwaka u will lose everything! unaogopa! na huo ndo ukweli, do we TZ deserve this?kuna sababu ya kukaa kiza?,kuna sababu yakuuziwa gas 44000 wakati yetu tunayo yakumwaga? sukari je? kumbe na kagera nao wananunua 2000!. NJAA ZINAUMA SAAANA!
Tzhatuna gesi ya kumwaga!Kitu chochote lazima kiwe na initiator kisha catalyst kabla hakijawa kitu kamili, walovyoanza CDM kuna watu walibeza wakasema waTZ hawana guts hizo ss inaonekana wamegundua ni moto mbaya wa nyikani ulowashwa,Wa-Egypt hawakuingia barabarani wenyewe unajua roles walizo-play kina al baradei (former UN nuclear chief).
Revolution ni sacrificial naelewa ww Chief Nyantela unaweza ukawa independent na una vijimali vyako ngoma ikiwaka u will lose everything! unaogopa! na huo ndo ukweli,do we TZ deserve this?kuna sababu ya kukaa kiza?,kuna sababu yakuuziwa gas 44000 wakati yetu tunayo yakumwaga? sukari je? kumbe na kagera nao wananunua 2000!. NJAA ZINAUMA SAAANA!Code:
anagalia falsafa ya peoples power ya CHADEMA ipo tangu august 13, 2006 chama kilipofanyiwa reforms ..... Falsafa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Power without control is as good as zero!!! Wake up!!!
Nina maana siku watu wakitoka nje basi iwe ni watanzania woote wametoka na sii CDM na wapenzi wao.
Nina maana siku watu wakitoka nje basi iwe ni watanzania woote wametoka na sii CDM na wapenzi wao.
Nina maana siku watu wakitoka nje basi iwe ni watanzania woote wametoka na sii CDM na wapenzi wao.
Nyantella,
Kwa hisia inaoneka wewe unatokea familia ya wenye kujitosheleza. Ungetokea familia masikini usingelilia muungano wa CDM, CUF, TLP etc ili ukombozi wako uje. Haitashangaza kama wapinzani wakishaungana uje na wazo jipya kwamba waungane na CCM. Ule usemi wenu "tusingombee fito", hivi CCM nao wanajenga Tanzania hii hii au wanabomoa????
Kama unawakilisha familia masikini kwa tafasiri yoyote ile basi huna tofauti na mgonjwa anayemcheka mwezake kagongwa na Corolla huku yeye aliyegongwa na Benzi kavunjwa uti wa mgongo.
Hivi unatazamia mabadiliko ya kiutawala yataletwa na watanzania wooote kama nadharia yako inavyo-dictate.
Misri waiitisha maandamano pale Tahrir Square ya up to 1 million people, then scaled up to 2 million people. Sasa wewe unayetaka watanzania 40million waingie barabarani hayo maandamano yatakuwa kinyume na utawala upi sasa maana hata Makamba, Chiligati, JK (ambao ni watanzania) nao wataandamana.
Msiwasukume Chadema kwenda njia hii kwa sababu uwezo wa kuitisha maandamano ya watu million moja mbele ya ikulu au kufunga Nyerere road wanao hata kama watakaoandamana ni wanachama na mashabiki wao tu. Mtawaua lakini hataua watu elfu tano kabla vijana wa Mwamunyange na Mwema hawajawageuka na kuwa upande wa wananchi. Dont push these people they have demonstrated an exemplary peace at their rallies without much help from the police force. Wangekuwa ni wenye vurugu tungekuwa tumeziona tayari. Wamepita mikoa yenye ushawishi mkubwa (kwa idadi) lakini hatujasikia aliyevunjiwa duka au aliyevaa kofia ya CCM au CUF amepigwa. Kama wapo basi polisi wameamua kuwa sehemu ya Chadema.
Tatizo la watawala ambalo wewe unawakilisha mawazo yao ni kule kutojua Chadema's next move ndo maana mnadhani wanakusudia kuchukuwa njia ya Tunisia na Misri. Nasikia viongozi wanazungumzia neno "kuchochea" vurugu, hivi mtu aliyekuwa incited atatoka kwenye maandamano kisha akalale nyumbani kwake???.
Tuko kwenye kizazi (dot com) ambacho kina udadisi wa hali ya juu, hawatishiki kwa nadharia tulizotishwa nazo (mauaji ya Rwanda) vijana wa 1990/95. Vijana wa leo wanataarifa kwenye simu zao, wanajua yanayotokea Tahrir, Benghazi, Sanaa na kwingineko hawahitaji simulizi kwenye ITV au TBC 1.
Jamani chema chajiuza wahenga walituambia. Wakati wengine ili watu waje mkutanoni lazima mkuu wa mkoa atoe waraka wa kufunga ofisi/skuli mapema ili bwana mkubwa asikose watu wa kuwahutubia. Hii hali ya kuchechetuka isingekuwepo kama mngetimiza wajibu wenu kwa watanzania.
Wakati CCM ikiwaona watanzania si mali kitu si lolote, Chadema wao wanasema watanzania ndio nguvu yao. Hivyo vyama vingine ulivyovitaja vimejipambanua kwa msaada wa CCM kuwa vyama vya upinzani kwa Chadema, ni bora wake kando kwanza ili matendo na maneno yao yawakilishe matakwa ya wayonge wa nchii hii ambao wewe sio mmoja wao.
Umenifanya nizipitie sifa za kuwa Senior Member hapa JF. Na kama inawezekana mtu kushushwa juu na kuwa member wa kawaida kama wenzangu na mimi. Bahati mbaya sijaona lolote zaidi ya michango ya pesa.
Nyantella,
You know what? Indeed you are out of planet earth. Actually you are kind of trying to sing the theme song of all those are threatened by what active citizens are capable of doing - those who would like to see citizens of this country living in darkness without knowing what is happening behind their backs all of the days of their lives. Sikiliza Ndg, what Dr. Slaa and Mbowe are currently championing siyo vugu vugu la kupindua serikali kama wewe na waliokutuma wanavyotaka tuaminini. To be more precise they are actually excercing their constitutional rights and at the same time availing one of the long abused human right - access to information. Tz citizens have been denied this right kwa kisingizio cha usalama wa taifa kwa muda mrefu sasa. Reading your article between the lines I can see the fear that you and your bosses are having - the fear of unknown!!! Our Rulers would like citizens of this country to remain in total darkness all the days of their lives. And I think this is one of their permanent prayer item. Our Rulers knows very well that Information is Power and that Once citizens becomes active and know what is happening behind their backs they'll say NO - enough is enough. But fear not!!! The current move is actually of benefit to CCM and its Government than it is to CDM. Kama wana akili za kawaida tu (they don't have to be genius) they will know how best to shape in and become more accountable to the citizens so that come 2015 CDM will have nothing against them. BUT keep on complaining ooh, wanataka kutupindua; mara ooh uchaguzi umeshapita wasubiri 2015 will kill and bury your party. Yes elections are over BUT life goes on. We cant just sit down and watch our kids dying! No Never! Mbowe, Slaa keep on equipping us with more information so that we can be able to hold our government accountable!! Information is power - no data no right to speak! This is a mere common sense and not rocket science!!