KIPAUMBELE sir
Member
- Jan 1, 2016
- 80
- 12
Nilitegemea aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema Dr.Slaa angeendelea Na utaratibu wake Wa kupelekwa Serena Hotel Na Kina Dr.Mwakyembe kuendelea kuichambua Ripoti ya Richmond Kwa ufasaa kwani inaonekana Watanzania hawakuielewa kipindi kile .Dr. Slaa kiongozi Mwenye uchungu Na nchi hii tunamshauri aiombe serikali hii azunguuke nchi zima kuwafahamisha watanzania kilichomo kwenye ripoti hiyo kwani Dr.Slaa in mtanzania pekee anayeijua ripoti hiyo mpaka Serikali awamu ya 4 ilimwomba ahutubie taifa kupitia waandishi Wa habari.