Tunashukuru kwa taarifa nzuri sana ila tunaomba uwe wazi hapa:
(Hata hivyo, alizitaja kampuni 13 ambazo zimegoma kurejesha fedha hizo (majina tunayo) na kwamba hazijalipa jumla ya fedha zote zinazokisiwa kufikia sh bilioni 50.)
Mwanahalisi itayaanika yote wiki ijayo