Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Kuna tetesi kuwa RAISI wa serikali ya nje (serikali ya Tanganyika) anategemea kwenda kuzuru waarithirika wa mabomu uwanja wa uhuru
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar ametangaza kuwa kesho kambi ya Watoto waliopotezana na Wazazi wao iliyopo kwenye Viwanja vya Uhuru itahamishiwa mitaa ya Gongo la Mboto ili kurahisisha muunganiko wa familia zinazohusika, Taarifa ya Habari ITV.
Nasikitika kuwa Chadema wamechelewa sana kuchukua hatua ya makusudi ya kuonyesha kujali mpaka kutanguliwa na Rais wa Zanzibar aliyetoka visiwani kwenda kuwajulia hali majeruhi Muhimbili, huu ulikuwa ni wakati wa Chadema kuonyesha umakini wa uongozi mbadala kwa vitendo, wakati mwingine watapaswa kufikiri na kuamua kwa haraka kuliko ilivyo sasa.
KWANA wanaama watu wote??? wanapoenda DR slaa RAIS wetu atawafuta huko huko hata kama wakiamia IKULU
Hivi kwani Dr. Slaa hakuwepo hapa nchini mpaka aanze kuwatembelea waathirika siku ya nne baada ya maafa kutokea?kuna tatizo kubwa hapa!!
Mi nafikiri issue hapa sio kuwahi kuwaona wahanga wa milipuko.Mi naona huu ni unafiki na ni upuuzi kujifanya kimbelembele wa kwenda kuwaona wahanga wakiti huu ni uzembe wao wenyewe!Watu wengine wakati kama huu ndo umekuwa wakijionyesha kama wanajali sana kumbe wanafiki,wanaenda kujifanya wanatoa michango kumbe wanavizia kupiga picha kwa ajili ya kampeni.Hizo picha tutaziona kwenye kampeni ya mwaka 2015.Jana nimeona wakina mama wa UWT wanatoa michango kwa unyenyekevu kumbe wanafiki tu.Wamwambie mwenyekiti wao kwamba huu ni uzembe wake mwenyewe na awajibike....na damu yote iliyo mwagika kwa uzembe wao I juu ya vichwa vyao.Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar ametangaza kuwa kesho kambi ya Watoto waliopotezana na Wazazi wao iliyopo kwenye Viwanja vya Uhuru itahamishiwa mitaa ya Gongo la Mboto ili kurahisisha muunganiko wa familia zinazohusika, Taarifa ya Habari ITV.