Dr. Slaa kuzuru uwanja wa uhuru saa 5 kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa kuzuru uwanja wa uhuru saa 5 kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Feb 18, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kuna tetesi kuwa RAISI wa serikali ya nje (serikali ya Tanganyika) anategemea kwenda kuzuru waarithirika wa mabomu uwanja wa uhuru
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Rais wetu anaingia Uhuru kesho, lazima niende kumuangalia Mh.Rais Slaa saa ngapi Mr. Pres atakuwa Uhuru?:wink2:
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nafarijika kusikia hilo lakini bado kilio cha miyatima kinaendelea Pemba, Unguja, Arusha, Mbeya, Mbagala na sasa Gongolamboto bila ya yetote wa kuwafuta machozi, hakuna wa kutetea sauti yao.

  Hadi leo familia ngapi zilizotokwa na wapendwa wao kwa mtindo huu huu na wasifidiwe kitu na maisha kuwageuka kama samaki papa kwa mpiga mbizi mwenye jeraha baharini???????? Ni jambo la kufumbia macho hili??????????
   
 4. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar ametangaza kuwa kesho kambi ya Watoto waliopotezana na Wazazi wao iliyopo kwenye Viwanja vya Uhuru itahamishiwa mitaa ya Gongo la Mboto ili kurahisisha muunganiko wa familia zinazohusika, Taarifa ya Habari ITV.

  Nasikitika kuwa Chadema wamechelewa sana kuchukua hatua ya makusudi ya kuonyesha kujali mpaka kutanguliwa na Rais wa Zanzibar aliyetoka visiwani kwenda kuwajulia hali majeruhi Muhimbili, huu ulikuwa ni wakati wa Chadema kuonyesha umakini wa uongozi mbadala kwa vitendo, wakati mwingine watapaswa kufikiri na kuamua kwa haraka kuliko ilivyo sasa.
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  KWANA wanaama watu wote??? wanapoenda DR slaa RAIS wetu atawafuta huko huko hata kama wakiamia IKULU
   
 6. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kujali kwa kuwalipua kwanza halafu tena muende kuwafariji waliofiwa; bora ukae kimya lakini matendo yako yafanane na wanaojali kwa kuongea na kusimamia haki; kama ilivyo kwa rais wetu wa moyoni Dr Slaa; Shein anasema serikali imefanya juhudi kubwa; ebo juhudi kubwa kuua watanzania na yeye kupata safari kuja bara?

  Go Dr my President
   
 7. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi kwani Dr. Slaa hakuwepo hapa nchini mpaka aanze kutazama "athari za maafa ya kitaifa" siku ya nne baada ya maafa kutokea?upo wapi uongozi? kuna tatizo kubwa hapa!!
   
 8. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  nitafurahi sana dr akifika huko. karibu dr utufariji
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  RAIS MAKINI hakurupuki HUYU NDO RAISI WA TZ SUBIRI KOMBORA
   
 10. f

  fnacc Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mi nafikiri issue hapa sio kuwahi kuwaona wahanga wa milipuko.Mi naona huu ni unafiki na ni upuuzi kujifanya kimbelembele wa kwenda kuwaona wahanga wakiti huu ni uzembe wao wenyewe!Watu wengine wakati kama huu ndo umekuwa wakijionyesha kama wanajali sana kumbe wanafiki,wanaenda kujifanya wanatoa michango kumbe wanavizia kupiga picha kwa ajili ya kampeni.Hizo picha tutaziona kwenye kampeni ya mwaka 2015.Jana nimeona wakina mama wa UWT wanatoa michango kwa unyenyekevu kumbe wanafiki tu.Wamwambie mwenyekiti wao kwamba huu ni uzembe wake mwenyewe na awajibike....na damu yote iliyo mwagika kwa uzembe wao I juu ya vichwa vyao.
   
 11. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,431
  Trophy Points: 280
  mara ningine mnatakiwa kujuwa kuwa katika nchi inayojali siasa kama hiii ..CHADEMA wangeenda pale basi serikali iliyopo ingeanza kutafuta sababu kwa ajili ya taharuki watakayoipata kisiasa.....za kufanya siasa...mimi naona CHADEMA wamefanya uzalendo kuiacha serikali ichukue kwanza hatua za dharura ndio wao waende..pale...ile statement waliyotoa inatosha sana kwa kuanzia...hatua za muhimu katika maafa ni kuchukua hatua za dharura kwanza,...hata waliotembelea pale wengi wamefanya utalii wa ndani tu,...hakuna la maana walilowapelekea wahanga...bora RED CROSS na VODACOM nimewaelewa ...wamepeleka misaada.
   
 12. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 929
  Trophy Points: 280
  Wakuu, habari za uhakika ni kwamba Dr Wilbrod Slaa atatembelea wahanga wa mabomu yaliyolipuka Gongo la mboto juzi.

  Dr atakua na baadhi ya viongozi waandamizi wa chama cha chadema. Dr amechelewa kufika kwa wahanga kwasababu alikua nje ya Dar siku mabomu yalipolipuka akiwa katika shughuli zingine za kichama huko moshi.

  Tofauti na wengine yeye atatembelea maeneo yote yaliyoathiriwa na milipuko.
   
 13. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nani atawajibika kama hawajibishwi? Dr. Slaa mbona yupo kimya? Neno moja tu la Slaa linaweza kubadilisha hali ya hewa na watu wakawajibika.
   
 14. j

  just in time Member

  #14
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kamanda anatafakari kabla ya kurika nao.
   
 15. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Soma magazeti! Angalia The African on Saturday la leo.
   
Loading...