Dr Slaa kuunguruma Temeke Jumapili hii

Status
Not open for further replies.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,978
Reaction score
285,476
ni katika viwanja vya NHC , njia panda ya uwanja wa Taifa karibu kabisa na CHUO KIKUU CHA UALIMU - DUCE , kwa mujibu wa matangazo kutoka kwenye gari la matangazo mkutano huo utaanza majira ya saa 8 mchana . wito wangu kwa wana Temeke TUSIKOSE KUHUDHURIA MKUTANO HUU , KUTEMBELEWA NA DR SLAA NI BAHATI KUBWA NA HESHIMA KUBWA SANA KWETU , HUYU NDIYE MKOMBOZI HALISI WA NCHI , KILA MAHALI NCHI HII WANAMLILIA , PIIIPOOOOZZZZZ !!!!!

==========
UFAFANUZI
==========
 
Sounds good. Kila la kheri. Msisahau kuimalisha ulinzi ktk mkutano huo.
 

Yaani kutembelewa na Babu MZINZI ni bahati!!???. Unamatatizo wewe si bure!
 

Wanatemeke Peke Yao Tu Sisi Wa Kinondoni Hatutakiwi?
 
karibu sana dr slaa,,,waletee ukombozi wanatemeke
 
Kwa mala ya mwisho nilihudhuria mkutano wake pale furahisha Mwanza kwenye operation pamoja daima,natarajia hapo napo nitahudhuria
 
nitatembea kwa miguu kutoka mbagala ili nimsikilize kamanda WILBROD PETER SLAA
 

Hana kitu huyo mnadanganyika. Ndio maana mkakimbilia ukawa. Mwisho ya yote mtakimbilia ccm baada ya kuona hata ukawa hamna mtu anawajali.
 
PawaaaAaaaaaaaa
Pamoja kamanda tutakuwepo hapo
 
Hakyanani ilikuwa niondoke kesho nirejee kwetu boda sasa naahirisha safari, mtoa mada Ubarikiwe!

BACK TANGANYIKA
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…