haishangazi habari hii kuwa kubwa , maana UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA DR SLAA NDIYE MTU MAARUFU ZAIDI KWENYE UKANDA WA MAZIWA MAKUU , AKIFUATIWA KWA MBALI SANA NA PAUL KAGAME .
Kesho Wassira afungwe kamba shingoni avutwe kama mbuzi hadi kwenye mdahalo wa katiba Serena Hotel. Mbona vipindi vya Dk 45 vya ITV huwa ana burst kwa kurudia?!
Sasa tunamtaka aende akatetee S2 zilizoboreshwa ili Watanzania tupembue chuya na ngano

Mbona baba mwanaisha kila siku safarini hadi sit za ndege zimeisha anaenda kupiga picha na Rais wa fifa na kubembea,kweli hiyo ndo hadhi za Rais wa Tz?