Lakini Crashwise hizi mikutano mbona zimekuwa mingi sana, Mwezi wa Tano it was Lindi and Mtwara, Heche alikuwa Ifakara last week lakini saa hizi kuna taarifa kwamba yuko Tarime, yule katibu wake sijui mwenyekiti msaidizi naye amesisika pande za mbeya last week, kuna post nimeona hapa inasema M4C imevuna watu newala, kuna gazeti nimesoma jana linasema Operasheni vua gamba vaa gwanda imefanya nini sijui ngorongoro, Lema alikuwa London, mara ghafla nikamuona kwenye Luninga serena hotel Dar, Juzi house Girl wangu kachelewa kupika eti alikuwa kwenye mkutano wa CHADEMA tabata, Kuna post imo humu inasema Mbowe anakwenda USA, Tena ingine inamwenyekiti wa CHADEMA UK anaongea na nani sijui? ni nini hasa tatizo?
Kalaga bao. Madaktari wamegoma,walimu wamegoma,...manesi wamegoma kunanini....
Mkuu Lyimo kwa kuongezea huu mkoa wananchi wake wengi wanawakumbatia wahindi na waarabu kama viongozi wao . mfano yule gaba choli mwenye mabasi ya Dar moro huwa anatoa rushwa ya usafiri wa bure wakati wa uchaguzi kwahiyo slaa anawapa somo jinsi hao maga bacholi wanavyowaibia
Kwi!kwi! Kwi! Teh mkuu wangu sobodo Ana cheo gani CDM?Inasikitisha kwa kweli mtoto wa kiume kuwa na wivu kiasi hicho wahindi na waarabu kwani sio Watanzania...kwa hiyo Mbowe na Slaa nao wanamkumbatia muhindi Sabodo...acha ubaguzi wa kipuuzi.
Kuamsha watu waliolala na kusahau Muda wa jua kuchomoza sio Kazi ndogo!! Eeh Mungu endelea kutupa pumzi tuyashuhudie Mabadiliko ya kweli!!Kwani morogoro kuna nini? Wiki ya Pili hii Docta yuko uko, kuna nini morogoro?