philemon e gobre
Member
- Dec 20, 2013
- 59
- 7
Vizuri sana mkuu.
Cha muhim zaidi ni dhamira moja, Ambayo italeta Mshikamano miongoni mwetu,Wenye vyama na wasiokua navyo, Ni nadra sana kwa watu kuukubali ukweli kuliko wanaposikiliza uongo, Taasisi hii pendwa Chadema, Imefika mahali sasa kwa ajili ya kuongoza Taifa, lakini watu wachache wanaingia kwa sababu zao,Na kukatisha dhamira na Malengo ya Taasisi hii, Ukombozi wa mara ya pili ni lazima, Na ukombozi huu hautatokea kokote isipokua Chadema, Taifa hili litanufaika kama kila mmoja wetu akiweka fikra zake katika kuikuza Demokrasia,
Tanzania kitu ilichokosa ni (Rully Power). CCM haina kabisa, Badala yake inafanya kazi kwa namna ya kuchezea utawala wa Kiraia, Ni muhimu tuweke dhamiri zetu kwenye Uchaguzi Mkuu unaokuja, Lakini Uchaguzi huo hatutapata tuliyotarajia kama,Hatuna tume huru ya Uchaguzi, Na habar zinazozidi kuenea ni kuwa Daftari la wapiga kura litafanyiwa Mchezo ili mradi Vijana wenye mrengo wa Mabadiliko wasipige kura,
ChademaDaima.
ndiyoooooooooooo!!!!!!!!!!!!