Dr. Slaa kuunguruma IGUNGA tarehe 22 Disemba,2013

Dr. Slaa kuunguruma IGUNGA tarehe 22 Disemba,2013

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
9,739
Reaction score
4,745
Katika mwendelezo wa Ziara za Kuimarisha chama (CHADEMA) katika kanda ya Ziwa na Magharibi kesho Dr. Slaa atahutubia mkutano mkubwa wilayani Igunga, kwa kuwa Igunga ni kitovu cha mageuzi katika Mkoa wa Tabora kesho Igunga hapatatosha kwani shamlashamla na maandalizi pamoja na ulinzi wa kutosha juu ya ujio huu wa kiongozi wa watu Dr. slaa yameishakamilika, Nataraji kuwepo kwenye tukio hili kwa hiyo tutapeana updates za kutosha juu ya nini kitakachokuwa kikiendelea bila kusahau mapicha.
 
Kwa sasa nchi imeelekeza macho kwa kijana zitto.
 
Katika mwendelezo wa Ziara za Kuimarisha chama (CHADEMA) katika kanda ya Ziwa na Magharibi kesho Dr. Slaa atahutubia mkutano mkubwa wilayani Igunga, kwa kuwa Igunga ni kitovu cha mageuzi katika Mkoa wa Tabora kesho Igunga hapatatosha kwani shamlashamla na maandalizi pamoja na ulinzi wa kutosha juu ya ujio huu wa kiongozi wa watu Dr. slaa yameishakamilika, Nataraji kuwepo kwenye tukio hili kwa hiyo tutapena updates za kutosha juu ya nini kitakachokuwa kikiendelea.

Vizuri sana mkuu.
Cha muhim zaidi ni dhamira moja, Ambayo italeta Mshikamano miongoni mwetu,Wenye vyama na wasiokua navyo, Ni nadra sana kwa watu kuukubali ukweli kuliko wanaposikiliza uongo, Taasisi hii pendwa Chadema, Imefika mahali sasa kwa ajili ya kuongoza Taifa, lakini watu wachache wanaingia kwa sababu zao,Na kukatisha dhamira na Malengo ya Taasisi hii, Ukombozi wa mara ya pili ni lazima, Na ukombozi huu hautatokea kokote isipokua Chadema, Taifa hili litanufaika kama kila mmoja wetu akiweka fikra zake katika kuikuza Demokrasia,
Tanzania kitu ilichokosa ni (Rully Power). CCM haina kabisa, Badala yake inafanya kazi kwa namna ya kuchezea utawala wa Kiraia, Ni muhimu tuweke dhamiri zetu kwenye Uchaguzi Mkuu unaokuja, Lakini Uchaguzi huo hatutapata tuliyotarajia kama,Hatuna tume huru ya Uchaguzi, Na habar zinazozidi kuenea ni kuwa Daftari la wapiga kura litafanyiwa Mchezo ili mradi Vijana wenye mrengo wa Mabadiliko wasipige kura,
ChademaDaima.
 
tunaweza kulaumu hawa wanaondika pumba kumbe siyo akili zao ni kazi ya viroba chama chakavu kimeshamaliza vijana wetu/.
 
Gongo gongo! Zamani nilikuaga nawaza kwa nini BAVICHA wanapenda matusi sana kuliko hoja?
Kumbe babu yao anawalipa ujira wa GONGO a.k.a MACHOZI YA SIMBA
 
utafiti unaonyesha kwamba DR SLAA ndiye mtu maarufu zaidi katika nchi hii kwa hivi sasa .
 
Gongo gongo! Zamani nilikuaga nawaza kwa nini BAVICHA wanapenda matusi sana kuliko hoja?
Kumbe babu yao anawalipa ujira wa GONGO a.k.a MACHOZI YA SIMBA

hoja yako ni ya kimasikini sana .
 
ndugu zangu wa Igunga ni bahati kubwa mno kutembelewa na DR SLAA .
 
Back
Top Bottom