Aristides Pastory
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 348
- 60
...Huyu Dr. SLAA ndiye BABA wa Taifa kwa sasa...
Si ameshakula pesa ya mjinga fulani, sasa Baba anafunguka.Huyu Dr. Bunduki/ Slaa mwanzoni nilisikia Geita leo tena nasikia Shinyanga, Geita ilikuwaje?. Huyu mzee naye kweli akipanda jukwaani kwa sera kama hii na akapigiwa makopi asifikili kaongea point bali atakuwa anazihakiwa. Hivi kweli hata kama ni ushawishi, utumiwe kumtukana mtoto wako au ni wakusingiziwa?.
Si kila aniitae Baba Baba atauona ufalme wa mbinguni.
Kiongozi wa Upinzani nchini Dr Wilbroad P.Slaa kesho anatarajiwa kuunguruma mkoani Shinyanga.Kiongozi huyo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA atatikisa katika mkutano wa kumnadi mgombea Udiwani wa CDM katika kata ya Mwawaza.
Habari za awali zinasema kuwa baba mzazi wa mgombea udiwani wa CDM anatarajiwa pia kupanda jukwaani kuelezea jinsi alivyohongwa ili amsingizie mwanae ni mwizi katika moja ya mikutano ya CCM.
Kuna shamrashamra kubwa hapa Shinyanga kuashiria ujio wa kiongozi huyo mashuhuri nchini.Mpaka sasa tathmini za awali zinaonyesha CDM ina uwezo wa kushinda kata hiyo kwa idadi kubwa ya kura.
Sasa hivi hakuna cha ndoho tabu kamanda!! Wamesimama si mchezo
hapo kwenye red, kwani Mh. F.A. Mbowe ni kiongozi wa nini? halafa heading kwamba slaa atatikisa shinyanga kwani shinyanga ni tawi la mti au? halafu slaa anatarajia kuunguruma au kuongea? au kageuka mbojo? toa taarifa iliyonyooka!

Hopeless!
How??!!!! kuwa makini,
Kiswahili chako finyu, toa uzembe wako wa kujifunza lugha hapa.hapo kwenye red, kwani Mh. F.A. Mbowe ni kiongozi wa nini? halafa heading kwamba slaa atatikisa shinyanga kwani shinyanga ni tawi la mti au? halafu slaa anatarajia kuunguruma au kuongea? au kageuka mbojo? toa taarifa iliyonyooka!
Kiongozi wa upinzani bungeni? Kiongozi wa upinzani. Mbona mnaanza kufikiri katika Pandora box.Mkuu Molemo.hebu jaribu kupunguza ushabiki wako,hivi Kiongozi wa upinzani hapa nchini unamjuua?!,Mungu wangu!!!
Anyway maybe ushabiki wako ndio umekufanya ufikie kuandika hivyo lakini pl be carefull.
halafa heading kwamba slaa atatikisa shinyanga kwani shinyanga ni tawi la mti au? halafu slaa anatarajia kuunguruma au kuongea? au kageuka mbojo? toa taarifa iliyonyooka!
Afadhali umegundua hili, kabisaa!Sauti ya bangi. Unakaribia kutoka nje na kibatali mchana wa saa nane.
Mkuu Molemo.hebu jaribu kupunguza ushabiki wako,hivi Kiongozi wa upinzani hapa nchini unamjuua?!,Mungu wangu!!!
Anyway maybe ushabiki wako ndio umekufanya ufikie kuandika hivyo lakini pl be carefull.
Angalizo muhimu kwa viongozi CDM......wekeni ulinzi imara kwa Dr.Slaa na viongozi wengine wa CDM....pia imarisheni amani katika mikutano yenu...hii ikimaanisha msijiingize kabisa kwenye mabishano na polisi.....Hii ni kwa kuzingatia kuwa kwa sasa polisi tz(haswa kanda ya ziwa) wako kwenye stress kubwa dhidi ya yaliyowafika kwa kiongozi wao kule mwanza kuuwawa kinyama.....ikumbukwe kuwa hata DCI Manumba ametoa wito kwa polisi kulipiza kisasi kwa njia yoyote....hivyo shime CDM kueni makini na hawa polisi wa tz.....kwa kutojiingiza kwa namna yoyote ile kwenye mabishano nao kwani kwa tunavyowajua maamuzi yao polisi siku kwa siku yamekuwa na utata na hii huwa inadhiirika baadaye kwenye majuto.....Hatujui this time wamepanga kufanya nini kwa jinsi walivyo desperate......hivyo kuweni makini....