Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Dar ndiyo sehemu pekee ambayo hawa buku 7 fc wanaitegemea kujikimu , kwa hiyo wakisikia Mkombozi Slaa anaingia lazima watoe Mapovu ya Kifafa .
Mkuu eneo ambalo chama kina wabunge wawili wa kuchaguliwa,na madiwani kadhaa halafu unasema hakikubaliki,kweli wewe ulipaswa upelekwe milembe!kaa ukijua Segerea,Ukonga,Kawe na Ubungo ni majimbo ya CHADEMA 2015,hayo yaliyobaki ndiyo tutayagombea!
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
Kwa hoja hizo hizo CCM sasa hakukaliki kila siku vikao kujadili namna ya kumnyamazisha Dr. Slaa. Angekuwa hajui kujenga hoja yanini kumfuatilia mtu kama huyo?mkuu wewe sijui ulizaliwa na mwanamke gani slaa hawezi hata kujenga hoja akiwa dar watu wa dar huwezi kuwadanganya na yeye kazoea kuongopa eti anafuatiliwa na usalama wa taifa mwe! mzee wa ajabu kweli huyu.
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
- :frog:" Ndo maana hawana wabunge kabisa DSM":wave:
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
Mkuu, wameona waende gongolamboto pengine huko watawapata wafuasi wao wa kisarawe, chanika na maeneo ya pembezoni. hapa Mjini kati wamechemsha sana. hata huko gongolamboto wataaibika sana
Ngoja ufike wakati mwafaka,tutawaonyesha sisi ni kina nani!Mkuu wangu mweleze huyo.Kuongezea tu mwaka 2010 jimbo la Temeke Chadema ilizoa zaidi ya kura elfu 20
mkuu wewe sijui ulizaliwa na mwanamke gani slaa hawezi hata kujenga hoja akiwa dar watu wa dar huwezi kuwadanganya na yeye kazoea kuongopa eti anafuatiliwa na usalama wa taifa mwe! mzee wa ajabu kweli huyu.
Kwa hoja hizo hizo CCM sasa hakukaliki kila siku vikao kujadili namna ya kumnyamazisha Dr. Slaa. Angekuwa hajui kujenga hoja yanini kumfuatilia mtu kama huyo?
Ameibua hoja nyingi nzito Bungeni mpaka mlifikia hatua ya kumtishia kumshtaki kwa kutoa siri nyeti za nchi, mbona hamkumfikisha hata mahakama ya mwanzo kama kweli CCM wanajua kujenga hoja?
We kweli ku
Ulifuatilia Bunge wakati ule Dr. Slaa akiwemo?slaa katoa siri gani ya taifa hili zaidi ya uongo eti anatafutwa kuuawa kwani slaa ananini mpaka afuatwe?
alichonacho mzee slaa ni wale akina mama wake tu,
vikao gani ambavyo ccm wamekaa kumjadili slaa.
Kumbe ndiyo maana magari ya maji taka yanatusumbua kwenye foleni kila siku barabara ya morogoro na yakifika njia panda yanapinda kulia kuelekea Lumumba?Dr Slaa amesababisha CCM wajinyee hovyo !