WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Man, Chadema wanakusanya maoni ya watanzania kuhusu rasmi ya katiba mpya, tuwaunge mkono kwa hilo. Baada ya hapo, tuanze kutofautiana kwenye vitu vingine kama Big Results Now (BRN) na Movements For Change (M4C). Lakini kwa hili, tuwe pamoja ili tupate katiba nzuriii yenye kukidhi yale wengi wetu tunataka kuona.Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
hivi john mnyika na Halima ni wabunge wa kigoma?Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
mkuu unashangilia ule uchaguzi mliokuwa mkihamisha watu?acha kuweweseka wewe. ni hivi majuzi tu CHADEMA imegaragazwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. au umesahau?
wenyewe ndo nani?wanatwanga maji kwenye kinu Dar ina wenyewe.
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa kesho Jumamosi anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara Dar es Salaam katika uwanja maarufu wa Kampala ulioko Gongolamboto.
Katibu wa Jimbo la Ukonga Juma Mwaipopo akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari amesema Dr Slaa ataunguruma katika viwanja hivyo ikiwa ni maalum kwa ajili ya kukusanya maoni ya Katiba mpya.
Dr Slaa anatarajiwa kuambatana na Mjumbe wa Kamati Kuu Mabere Marando,Wabunge John Mnyika na Halima Mdee,Mkurugenzi wa sera na utafiti Mwita Waitara pamoja na viongozi mbalimbali walioko makao makuu.
Kwa siku za karibuni Chadema imekuwa ikipata ufuasi mkubwa jimboni Ukonga na hii ni kutokana na jimbo hilo kuwa kama vile halina mbunge kutokana na matatizo makubwa yaliyopo jimboni humo.
Kumekuwa na ubovu mkubwa wa miundombinu jimboni Ukonga hasa kipindi cha mvua ambapo nauli ya daladala imekuwa ikifika hadi shilingi 1000/-
Tayari kuna shamrashamra nyingi kusubiri ujio huo wa Dr Slaa ambaye ana mvuto wa kipekee nchini.
Mkuu Molemo mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Aikael Mbowe atakuwa wapi?
Mkuu eneo ambalo chama kina wabunge wawili wa kuchaguliwa,na madiwani kadhaa halafu unasema hakikubaliki,kweli wewe ulipaswa upelekwe milembe!kaa ukijua Segerea,Ukonga,Kawe na Ubungo ni majimbo ya CHADEMA 2015,hayo yaliyobaki ndiyo tutayagombea!Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
Mbona sehemu zingine hawaji,waje hata biafra jamani kila siku pande hizo tu,wengine hamtutendei haki kabisa,njooni na kinondoni basi.
Tumesha sema huju JF na kwengineko kuwa, CHADEMA Dar hamna lenu.
Ni vyema nguvu kubwa muielekeze vijijini, kwani Dar tayari wameshaikataa CHADEMA siku nyingi ingawa makao makuu ya chama yapo hapa hapa Dar.
[/COLOR]Hapo penye red, hivi huo ni mkutano wa kampeni au kukusanya maoni juu ya rasimu ya katiba?
Mkuu eneo ambalo chama kina wabunge wawili wa kuchaguliwa,na madiwani kadhaa halafu unasema hakikubaliki,kweli wewe ulipaswa upelekwe milembe!kaa ukijua Segerea,Ukonga,Kawe na Ubungo ni majimbo ya CHADEMA 2015,hayo yaliyobaki ndiyo tutayagombea!
Mkuu wangu mweleze huyo.Kuongezea tu mwaka 2010 jimbo la Temeke Chadema ilizoa zaidi ya kura elfu 20