WanaJF,
Naamini wote mtakubaliana na mimi kuwa moja ya mambo ambayo yalimpa jina Dr Slaa ni kuibua kwake mambo ya ufisadi ambayo yalikuwa yakifanywa na vigogo wa serikali.
Kwa kuibua kwake huko taarifa juu ya ufisadi wa baadhi ya maafisa wa serikali na hata mawaziri/manaibu, kulimpa mhe rais fukuto la kulazimika kubadili baraza la maaziri mara kadhaa.
Lakini pia Dr Slaa bila ya hiyana alikuwa akieleza wazi sehemu anayopata taarifa zake kuwa ni kutoka kwa watu wa usalama (TISS). Kama tujuavyo watu wa TISS wanajua mambo yote ya serikali A to Z.
Kitendo cha Dr Slaa kuwa kimya kwa muda mrefu bila ya kuwa na taarifa zozote za yale yanayo endelea serikalini kuna ashiria kuwa "connection" yake na vijana wa TISS itakuwa terminated!
Je, Dr Slaa imekuwaje sasa hata taarifa za kuibiwa kwa chaki mashuleni upewi!?
What happened Dr Slaa!? Jina lako linazidi kusahaulika.
Habari gani zinazomfikia Dr Slaaa. Hakikka mnajidanganya sanaUnazungumzia TISS ipi? TISS wazalendo au TISS mafisadi! Kama ni TISS wazalendo ndio kabisaaaaaaaa habari zinaendelea kumfikia kila siku! Tena kipindi hiki cha karibia na uchaguzi ndio kabisaaaaaa ziko za kumwaga! Kinachowaumiza roho mafisadi ni kuwa ni vigumu sana kujua ni yupi TISS fisadi na ni yupi TISS mzalendo. Wacha kabisa kuna watu wamejitolea kumfanya kazi kwa ajili ya Tanzania. Muda ukifika utaona matokeo!
Ni kweli mkuu. Kuna wakati walikuwa wanajinasibu kuwa CHADEMA AINA INTELLIGENCY UNIT imara kuliko CIA, KGB, MI6, TISS, MOSSADhivi tiss wa dr.slaa si yericko nyerere na ben saanane?
Mkuu, MACHADEMA hayajui hilohabari zote za ufisadi wa nchi alikua anapewa na zito . toka chadema wamfukuze zito hakuna tena habar zozote za maana anazopata
Mkuu, MACHADEMA hayajui hilo
Tehetehetehe. Hapo ndipo unafiki wa Dr Slaa unapobainikaNUSU YA USALAMA WA TAIFA WANARIPOTI KWANG0_Dr.SLAA.
USALAMA WA TAIFA WAMENIIBIA KURA_DR .SLAA.
NUSU YA USALAMA WA TAIFA WANARIPOTI KWANG0_Dr.SLAA.
USALAMA WA TAIFA WAMENIIBIA KURA_DR .SLAA.
habari zote za ufisadi wa nchi alikua anapewa na zito . toka chadema wamfukuze zito hakuna tena habar zozote za maana anazopata
Unazungumzia TISS ipi? TISS wazalendo au TISS mafisadi! Kama ni TISS wazalendo ndio kabisaaaaaaaa habari zinaendelea kumfikia kila siku! Tena kipindi hiki cha karibia na uchaguzi ndio kabisaaaaaa ziko za kumwaga! Kinachowaumiza roho mafisadi ni kuwa ni vigumu sana kujua ni yupi TISS fisadi na ni yupi TISS mzalendo. Wacha kabisa kuna watu wamejitolea kumfanya kazi kwa ajili ya Tanzania. Muda ukifika utaona matokeo!
Tehetehetehe. Hapo ndipo unafiki wa Dr Slaa unapobainika
Tehetehetehe! Bora huko Chalinze wajitoe. Maana itakuwa aibuChopa 3 kata 3. Chalinze kama kalenga