Dr Slaa kuachia ngazi CHADEMA?

Join Date: Sun Aug 2009
Posts: 6
Thanks: 6
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0

Mhhhhhhh lugha mbaya!
Pamoja na ugeni wako hapa hatuongei kwa hasira hivi.
Tulia sema kwa lugha nzuri utaeleweka.

wageni huwa hawaongei hivyo mkuu,ni wenyeji tu ila majina bwenaaaaaaa
 
ila kwa mtizamo wangu kama Dr. Slaa atagombea na Hamad Rashid atakuwa mgombea mwenza itasaidia kupata kura nyingi kwa kuwa wote wanakubalika kutokana na misimamo yao thabiti katika kutetea watanzania
 
Back
Top Bottom