Susuviri Tukiangalia msafi ndio agombee basi kwa Tanzania Hakuna aliye msafi hata wewe sio msafi.
Aliyekwambia secretary general wa CHADEMA ni ombaomba nani wewe?
Sometimes mnajitia aibu na thread zenu za ajabu kama hii.
Eti achangiwe!!
Eti ni jobless!!
Fanya yako achana na Katibu wetu.
ZeMarcopolo kwa nini tusionee huruma tembo wetu ambao viongozi wa juu wa nchi na Chama chetu wanajua wanaohujumu maliasili hii mathalani juzi uwanja wa ndege dakika 10 mapembe yamepitishwa kwa rushwa ambayo na hakika ni ndogo mnoo kulinganisha na faida yake. Waache CDM na Dr. Slaa wao hebu tushughulikie haya kabla hatujamtetea mgombea wetu hali ni ngumuu ujueMkuu, sidhani kama binadamu mwenye moyo anaweza kuacha kuguswa na kinachomsibu Dr. Slaa. Kama tulivyomhurumia Zitto hatuwezi kuacha kumhurumia Slaa. Lakini huruma pekeyake haitoshi, something more than just huruma needs to be done...
Watu wanataka ku justify ufisadi kwa kusema eti Watanzania wote ni mafisadi! Kuna watanzania safi tena wengi tu.Mkuu mimi ni msafi kisiasa sina shaka kabisa. Hata hongo la traffic silipi, nalipa kodi zangu zote. Kisiasa tunachoangalia ni je unafuata sheria na utaratibu wa nchi. Mi sijajilimbikizia mali na ardhi.
Usitake kututukana watanzania eti hakuna msafi. Kwa hiyo unataka kusema watanzania wote ni wezi, mafisadi na wanadhulumu? Basi hakuna haja kuing'oa CCM kwa mantiki hiyo!
Hii si hoja! Wenye akili tunajua mnataka ku-dilute tu morality and values na hamtafanikiwa kamwe!
Mkuu, kama unajali alichopigania Dr. Slaa stand up and do something about it...
kidole kwa mwenzio cha nini wakati kwetu tume wa dhihaki na kuwatenda kina mzee nassoro moyo na kingunge..!dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.
Wakati mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la chadema kuwa dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.
Katika muda huu ambao slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.
Kwa vile josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.
Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.
Mpaka sasa alichopigania slaa ndani ya chadema kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.
Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa slaa?
Kinachomtokea slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
Dr. Slaa kakosa mwana na maji ya moto. anacho takiwa kufanya kwa sasa arudi nyumbani akaimarishe familia yake. Mungu kasababisha hayo kwake kwa malengo maalum kwani tangu aache ukasisi wa kanisa katoliki hajapata muda wa kutulia na kujenga ndoa yake. alipokee hilo kwa mtazamo chanya na aendelee na shughli zake za kawaida siasa imemshinda.
Hakuna mahali aliposema Dr.Slaa amenyang'anywa kazi yake.Pole kama unategemea CDM kuwa kama UVCCM kumnyang'anya Mzee Kingunge nafasi zake zote na bado mmemfungia ndani AIBU kwa chama kikubwa kama CCM.
Mmlitamani sana Dr.Slaa awaungeni mkono imeshindikana kwa hiyo mmekuja na hizi swagga.Mwacheni Mzee wa watu apumzike.Tena mtuachie kabisa Mzee wetu apumzike ameijenga CDM mpaka leo tunafaidi matunda ya kazi yake.
Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.
Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.
Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.
Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.
Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.
Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.
Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?
Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
Taarifa hii ya mwaka 2013 hatimaye imetimia...
Mkuu, kama unajali alichopigania Dr. Slaa stand up and do something about it...
Sikiliza Dr mzaramo, kama wewe unajali, umefanya nini?Mkuu, kama unajali alichopigania Dr. Slaa stand up and do something about it...