Dr. Slaa,huna hata aibu

Dr. Slaa,huna hata aibu

Status
Not open for further replies.

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
966
Reaction score
537
Unathubutu kusema kuwa vuguvugu la wananchi Mtwara kupinga gasi kwenda Dar es salaam ni matokeo ya M4C,una uhakika au kama kawaida siku zote ni watu wa kupenda sifa? Ngoma yoyote inayorindima mnataka kucheza hata kama steps zake hamzijui.Mnaishia kujisifu,mbona hamuendi huko kuungana na wananchi?

Hongera kwako Ustaadh Ilunga Hasan Kapungu, kazi yako imeonekana,wanaobisha watafute cd ya ustaadhi Ilunga akiwa Mtwara wakati akifafanua mfumo kristo na namna unavyofanya kazi.Kwanini Mtwara wamekuwa masikini.

Wake up you people dont rely on propaganda!!!
 
Mkuu kwa nini kutoka povu?? Malengo ya M4C ni nini?? Na kinachotokea Mtwara ni kipi????
 
Unadhubutu kupanua mdomo na kusema kuwa vuguvugu la wananchi mtwara kupinga gasi kwenda Dar es salaam ni matokeo ya M4C,una uhakika au kama kawaida siku zote ni watu wa kupenda sifa? Ngoma yoyote inayorindima mnataka kucheza hata kama steps zake hamzijui.Mnaishia kujisifu,mbona hamuendi huko kuungana na wananchi?

Hohengera kwako Ustaadh Ilunga hasan kapungu, kazi yako imeonekana,wanaobisha watafute cd ya ustaadhi Ilunga akiwa Mtwara wakati akifafanua mfumo kristo na namna unavyofanya kazi.Kwanini mtwara wamekuwa masikini.Wake up you people dont rely on propaganda!!!

Ubazazi tu hata mwenyewe hujui unachokiandika. Udini udini eti Ustaadh Ilunga. Who is this in our community?
 
Nani kakudanganya? Tangu lini Ilunga, Ponda, Farid na Mohamed Said wakapigania raslmali za nchi na waache kupigania DINI zao?
 
Anasema amekopa Millioni 20 sio 140.Wakati chama kila siku wanazunguka na vikapu kuomba yeye anajikopesha.Halafu anadanganya.Dhambi ya kukiuka amri ya 6 itamtafuna hadi kaburini
 
hili jamaa bado limejaa udini,kuna kikauli chao cha kijinga kinachotoka kwenye kibaraghasia chake,eti mfumo kristo,serikali inaongozwa na kina nani?mbona wakristo hawalalamiki?ww ndio huna hata aibu kwa kuleta ---- threads hapa kwa lengo la kuendeleza udini.
 
Doctor Slaa hana aibu, halafu tena mfumo kristo, sasa mbona sioni relation hapo? Kama si M4C tujuze ni kipi kilichowaamsha wana Mtwara? Ni huo mhadhara wa Ilunga? Kiuhalisia M4C imeamsha wengi sana vijijini labda Mtwara ndo sijui. Vijanja hawadanganyiki tena na Tshirt!
 
Ustadh Ilunga hayo aliyoyafanya ni sawa na M4C au V4C au vyovyote vile ukiita dawaa sawa.

Hoja ya aliyosema Dr Slaa ni kweli M4C imeondoa mtongotongo sana wananchi na kuwafanya kuwa majasiri dhidi ya propaganda chafu za mafisadi au serikali ambayo ni kama imemezwa na wafisadi.
 
Unadhubutu kupanua mdomo na kusema kuwa vuguvugu la wananchi mtwara kupinga gasi kwenda Dar es salaam ni matokeo ya M4C,una uhakika au kama kawaida siku zote ni watu wa kupenda sifa? Ngoma yoyote inayorindima mnataka kucheza hata kama steps zake hamzijui.Mnaishia kujisifu,mbona hamuendi huko kuungana na wananchi?

Hohengera kwako Ustaadh Ilunga hasan kapungu, kazi yako imeonekana,wanaobisha watafute cd ya ustaadhi Ilunga akiwa Mtwara wakati akifafanua mfumo kristo na namna unavyofanya kazi.Kwanini mtwara wamekuwa masikini.Wake up you people dont rely on propaganda!!!

Mara mbili unapaswa kufunga mdomo wako unapoogelea na unapokuwa na hasira.
 
Anasema amekopa Millioni 20 sio 140.Wakati chama kila siku wanazunguka na vikapu kuomba yeye anajikopesha.Halafu anadanganya.Dhambi ya kukiuka amri ya 6 itamtafuna hadi kaburini

Heri yako usiyekuwa na dhambi!
 
Nani kakudanganya? Tangu lini Ilunga, Ponda, Farid na Mohamed Said wakapigania raslmali za nchi na waache kupigania DINI zao?

Ii uhakikishe tafuta hiyo cd ya mfumo kristo kongamano la mtwara,hapo ndipo utakapojua kuwa wanamtwara kama wameamshwa na m4c au makongamano dhidi ya kuondoa mfumo kristo.Na ukiplus vitabu vya shk Mohamed Said vinavyoelezea historia ya kweli,ndio chachu ya mabadiriko ya wanamtwara.Hakuna haja ya kupiga kelele si waende mtwara wakaungane na wananchi au kwa kuwa maaskofu wamewaambia wasijiingize huko kama walivyofanya wao kana kwamba ile adha inayowakumba wananchi wa kusini wao hawaipati.
 
Kwanini maeneo yanayokaliwa na waislamu huwa hayana maenedeo ? e.g Mtwara, Lindi, Tabora, Tanga, Mafia n.k Na pia nchi za kiislamu hazina amani, wanajenga chuki, na wakikosa wa kumjengea chuki wanachukiana wenyewe kwa wenyewe. Halafu TV zao huwa ni habari za vita, kujitoa muhanga, na uchochezi. Hakuna cha burudani wala tanthiliya. e. press tv, aljazeera, etc Kwanini ?
 
Acha udini wewe mfuasi wa ponda!
 
Uoneshe tamthilia una raha gani?Kuhusu kuwa nyuma kwa maeneo ya waislam ni mfumo kristo.Kumbuka mtwara Nyerere alivyoamrisha kung'olewa reli.Angalia barabara zao zilivyo duni,nani anayewajibika kujenga barabara kama sio serikali,kwa nini mikoa ya hiyo isijengwe barabara za uhakika?Barabara ya kuelekea mtwara hata haiishi miaka hamsini na moja sasa kulikoni.
 
Huna hata aibu kuanzisha hii thread na wewe upate wachangiaji! Ptuuuuuuu!
 
Unadhubutu kupanua mdomo na kusema kuwa vuguvugu la wananchi mtwara kupinga gasi kwenda Dar es salaam ni matokeo ya M4C,una uhakika au kama kawaida siku zote ni watu wa kupenda sifa? Ngoma yoyote inayorindima mnataka kucheza hata kama steps zake hamzijui.Mnaishia kujisifu,mbona hamuendi huko kuungana na wananchi?

Hohengera kwako Ustaadh Ilunga hasan kapungu, kazi yako imeonekana,wanaobisha watafute cd ya ustaadhi Ilunga akiwa Mtwara wakati akifafanua mfumo kristo na namna unavyofanya kazi.Kwanini mtwara wamekuwa masikini.Wake up you people dont rely on propaganda!!!

wee kweli ni kichwa mbovu
 
udini tu unakusumbua.........

Kawaunge mkono CUF wanaochimba madini tanga
 
Huyu kweli ni kichwa mbovu sijui atakua anafikiria kwa kutumia makalio..!kwa sababu kichwa yako ni mbovu we unaonyesha kazi yako nikusikiliza tu,tunasemaga ni ubabe na uonevu usiokua na hoja,rasilimali za Taifa zinaweza kuliletea faida taifa sehem yoyote pale na sio lazima zipelekwe Dr cha muhim ni kua na uongozi uliobora na wenye uwazi tofauti na hapo wanao support wote ni vilaza tu.
 
Anasema amekopa Millioni 20 sio 140.Wakati chama kila siku wanazunguka na vikapu kuomba yeye anajikopesha.Halafu anadanganya.Dhambi ya kukiuka amri ya 6 itamtafuna hadi kaburini

pole naona zile bilioni300 za uswisi wanaume wamekwambia uzitetee kwa posho la elfu5 kwa sku nawe unakubali tu, akili ni nywere
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom