Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Anasema amekopa Millioni 20 sio 140.Wakati chama kila siku wanazunguka na vikapu kuomba yeye anajikopesha.Halafu anadanganya.Dhambi ya kukiuka amri ya 6 itamtafuna hadi kaburini
hata kama ni milioni 20,nani kamruhusu.huyu nae ni fisadi tu.