WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Samahani kwa yeyote atakayekasirishwa na Comment hii naomba anaisamehe bure nalazimika kusema haya.
Wakuu:
Kama kuna mtu ambaye anaweza kujitokeza na kupinga maamuzi ya watu wa mtwara kwangu mimi huyo namhesabu kama Mwendawazimu,katika hili sitaki kujua yeye ni nani,anatokea wapi,anafanya kazi gani?.Nasema hivyo kwa sababu kama ni kuchezewa sisi watanzania tumechezewa sana,tena zaidi ya sana!,Wakuu hii kitu inaumiza sana,kwangu mimi nitampongeza Dr.Slaa kwa mara ya kwanza kama kweli yeye na makamanda wengine ndio watakuwa wameinjinia hii kitu ya Mtwara,nasema hivyo kwa sababu hiyo gesi itatoweka na kwa sababu inajulikana hadi kiwango na wana Mtwara watabaki kama walivyozaliwa! sitaona aibu kama kumpongeza mtu wenye wivu wajinyonge,siwezi kuacha kumpongeza mtu kama amefanya jema na wala siwezi kuacha kumpa za uso kama amesema hovyo.
Kuna mifano hai mimi ninayo kama vile huko Geita ambapo kuna mgodi mkubwa ambao ni wa tatu kwa uzalishaji wa dhahabu katika bara la Afrika lakini fika geita jionee maisha ambayo wananchi wanaishi,au hata wafanyakazi wa mgodi,pamoja na kwamba kuna watu wengi a,nao wamepata ajira lakini asilimia zaidi ya 80 sio wakazi wa Geita ni watu kutoka nje ya geita na nje ya nchi pia,kuna taarifa kwamba kila wiki ndege inaijia dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 45,hivi jamani kama wanageita wangekuwa wameweka tu kautaratibu kadogo kwamba kila dhahabu inayoondoka kwa wiki waachiwe cheki ya shilingi milioni 100,kwa mwezi si ingekuwa ni milioni 400?,na kwa mwaka si ingekuwa ni zaidi ya shilingi Bilioni 5?hivi kwa akili ndogo tu ya kawaida fedha kama hii si watu wa eneo hilo wangekuwa hawachangishwi hata madawati?.
Pili anagalia Tarime,angalia Buhemba,hebu angalia Biharamulo ambapo kote huko kuna migodi ya Dhahabu,lakini rudi shinyanga iangalie namna ilivyo wakati ndio mahali pekee ambapo Almasi inazalishwa!!!!!!,ukifika shinyanga huwezi kuamini kama kuna mgodi wa Almasi ambao unawatajirisha wazungu wengi duniani!kila siku shinyanga kuna njaa watu wanaomba msaada wa chakula!!!!!!!
Kama kweli kuna mkono wa Slaa na M4C SIJUI KAMA NIMEPATIA HILO JINA,na waendelee na utaratibu huohuo mpaka pale kitakapoeleweka.Binafsi kwenye mambo ya msingi na yanayohusu maisha ya watanzania huwa sina rafiki ukichemka mimi nakupa tu za uso.
Lakini naomba niishie hapa kwa sababu nikiendelea kuzungumza hapa naweza kwenda mbali sana na kula BAN hapa mwisho wa siku nikakosa uhondo,lakini nasema hapo wanamtwara walipofika ni spidi 200 haki ya mamam wakanyage mafuta hadi ifike spidi 240 njia itapatikana tu kwa sbabu wahusika watalazimika kupaki tu ili wapite na kama wanataka msaada waseme tuhamasishe na maeneo mengine nao walianzishe.aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh!!!!!