appriciator
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 276
- 46
Dr. Slaa alisema jana kwenye moja ya mikutano yake huko Kigoma kuwa Chedama haikumuondosha Zitto Kabwe kwenye uongozi wa Chadema kutokana na matamko yake ila ni kwa sababu ya maadili yake alisema hivyo bila ya kufafanua.
Chanzo: Star TV
Chanzo: Star TV