Dr. Slaa: Hatukumvua uongozi Zitto kutokana na matamko yake ila ni kwasababu ya maadili yake

huyu Babu SLAA naye ana maadili gani. yaani jitu linakwiba kwiba tu na kuporapora wake za watu halafu lijiite lina maadili?

Kwani kapora wake za watu wangapi?

Kama ni huyo Mushumbusi mbona mahakama ilishamuona hana kosa?!
 
A patriot gives no attention to party issues; pre requisites are the only determinants!!!!!! Process and mechanisms in the due course of attaining pre requisites is left with you guys who are good in playing with words of mouth as a day to day practice!!!! We are just waiting at the mark!!!!!
Oh my! Another minus minus ten! Do you expect to be paid 7,000 with this rubbish? I remind you again, Ok? This is my question: As a member of CCM I would expect you to be joyful on what is now happening within CDM political party, but rather it seems your grieving on what is happening. Is your grieving genuine or hypocrisy?

Was this your answer to this question? In which school did you attend your higher education? That headmaster has to be dismissed effective immediately.
 
kama vijana wa tanzania wako hivi.........acha tu tuibiwe jamaa na kiingereza chake cha ugoko,ametoka nje ya mada anahitaji kiingereza,nifanye basi mimi sijui utafanyaje?acha utoto unaharibu hili jukwaa wewe mama
Wow! A great thinker with the language barrier?
 
Its a complete version madam keep focusing!!!!!Specificity lies with your capacity to comprehend lassie!!!!Trial versions are no longer issued!!!!!

mwenzangu waweza jiona unakijua kingereza kumbe hakuna lolote sasa si bora kama umemuelewa kwa lugha aliyo tumia na wewe ujibu kwa lugha yako unayo iweza vizuri? Sasa huku kujifanya na wewe umo ona sasa ulivyo umbuka hadi jf wote wamejua kuwa wewe kwenye hii lugha ya watu ni zero. Kama mungu kakujalia kukielewa shukuru kwa hilo sababu kuna wenzio wamejaliwa kukiongea kuandika na kukisikia na kukielewa kama vipi twanga kisukuma chako mbona nayo ni lugha tu kama hii?
 
Wa wazi kabisa mchana kweupe mbona,huwezi kumkera mtu hakafu uende kwao na kutoa kauli za kumuhusu na yanaoendelea!!!!!!

Ukimya ndio dawa hapa maana wakichoka kusema watakugusa tu sasa sababu wananchi watakuwa mashahidi wako hapo ndio unamaliza kesi kabisaaaaa!!!!!
“Ignorance is ultimately the worst enemy of a people who want to be free.” (Jonathan Hennessey)
 
Kwani kapora wake za watu wangapi?

Kama ni huyo Mushumbusi mbona mahakama ilishamuona hana kosa?!

we bwana we hawa wameishiwa ya kuongea hivo wanokoteza hata ambayo hayapo,CHADEMA hakuna baya la kuliongelea isipo kuwa wanalazimisha na kuokoteza ilimradi wamesema ,lakini ccm kuna lundo la mabaya ya kuyaongelea.
 
mwenzangu waweza jiona unakijua kingereza kumbe hakuna lolote sasa si bora kama umemuelewa kwa lugha aliyo tumia na wewe ujibu kwa lugha yako unayo iweza vizuri? Sasa huku kujifanya na wewe umo ona sasa ulivyo umbuka hadi jf wote wamejua kuwa wewe kwenye hii lugha ya watu ni zero. Kama mungu kakujalia kukielewa shukuru kwa hilo sababu kuna wenzio wamejaliwa kukiongea kuandika na kukisikia na kukielewa kama vipi twanga kisukuma chako mbona nayo ni lugha tu kama hii?


Isiwe shida ya ksumbua wengine bana kama lugha ni issue huko chuo tusingepeleka thesis kwa editors mkuu the fact humu tunakutana watu wa caliber tofauti isiwe sababu ya kunyanyua midomo na kusulubu wengine eti kila saa what the heck sijui utumbo gani!!!!

Nyambafu kabisa kama ningekuja kusema hapa kuwa najua hiyo lugha sawa ila hiki cha kuchukulia degree chuo na kuombea kazi msibabaishe watu bana humu watu magwiji wa lugha wapo wawili

Kiranga
Nyani Ngabu

Huyu Pinnochio wako wala hasumbui hapa kwanza hana vocabulary yiyite ya ajabu tangu kaanza hiyo lugha hapa, sasa sie wa PCB hiyo form six hatukufunzwa hayo madude na isiwe taabu sasa ndio kama hivi kama una la kurekebisha weka sio kelele tu ooonh hujui sijui JF wanakuonaje!!!!!!Uko hapa ili kuonekana X kumbe wewe ni Z si ndio unafiki huo??!!!!!,Ndio kilema na tunaishi nacho (Baadhi)na wala hakuna majuto wala aibu ikibidi British Council itahusika mkuu wala usitie shaka juu ya hilo!!!!!!

Kuzaliwa Kariakoo primary Lumumba,kukulia Ilala secondary Pugu then Chuo hapo Hiyo English unakutana nayo wapi???!!!!Wapo wengi huku mnataka wajione low class sababu ya lugha? ??!! Eti translate this in English ili nione uelewa wako????!!!

Jengine????!!!!

Am out for four hours ila ntakuwa napita pita kusoma!!!!!%
 
Last edited by a moderator:
Yaani Slaa anamnyooshea kidole ZZK eti hana maadili? Mungu wangu mtu aliyefukuzwa UPADRI? kweli kiboko!
Bora alivyofukuzwa upadri angejirekibisha lakini akawa kama ayelaaniwa akaanza kubobea kwenye uzinifu eti sasa anahubiri maadili.

 
SABABU KUBWA NI USALITI KWA CHAMA CHAKE kama ilivyotolewa ufafanuzi na wadau mbalimbali humu JF kwa mijiushahidi ya kufa mtu !
 
Dr. Slaa alisema jana kwenye moja ya mikutano yake huko Kigoma kuwa “Chedama haikumuondosha Zitto Kabwe kwenye uongozi wa Chadema kutokana na matamko yake ila ni kwa sababu ya maadili yake” alisema hivyo bila ya kufafanua.

Chanzo: Star TV

Kuna "maadili" mabovu zaidi ya kupora mke wa mtu? kuna "maadili" mabovu zaidi kutelekeza mke na watoto?
 
Back
Top Bottom