Kwahiyo?
leo unamkana dk
Chama kwanza mtu baadaye! Hakuna mtu maarufu zaidi ya chama! Akitaka afuate nyayo za Lipumba!
hajamkana huo ndo ukweli. inafika sehemu hata kana Dr tunampenda tunamweka pembeni kwa maslahi ya taifa na chama. Sasa tubaki kumbembeleza Dr kweli mapambano tutayaweza
being clitical brother is something nice
well said.nafikiri mfano kauona kwa lipumba alifikiri akiondoka cuf itayumba lakini wapi watu wapo busy na mapambano.
Yeye aende anakoenda na ataenda yeye na familia yake. Sisi ni wafuasi wa chama siyo wa mtu , nafikiri majibu mmeyapata kwa LIPUMBA. Wasaidieni hao watu kiuchumi lakini sisi malengo yetu yako palepale kumwondoa mkoloni mweusi CCM oktoba.
being clitical brother is something nice
Slaa hana mvuto ameshasahaulika huyo bora astaafu siasa hana jipya tena
"DK SLAA amefunguka kwamba dakika za mwisho MBOWE aliwaburuza na kulazimisha tumpokee LOWASA , hapo nikaona nikae pembeni. muda si mrefu nitaitisha press confrence kwani watu wanapotosha sana kuhusu mimi DK SLAA."
Kwani hilo nalo la kubisha...mbona DKT kaongea mwenyewe acheni ujinga wa kubisha bisha hadi vitu vilivyowazi
View attachment 276003