Dr. Slaa hatimaye aibuka

Angalia hapo kwenye nyekundu kwanza.....
CCM: we need to remain in power by any meas....
Kama umeanzisha hivyo nao wakajipanga hivyo what will be the feature? Tafakar...

Kama tifu, tifu tu!!
 


Hawa ni watu wawili tofauti kabisaa.

First Name: Dr. Wilbrod
Middle Name: Peter

Last Name: Slaa

Na huyo wa sisiem
Dkt. Wilbard Slaa Lorri

Wanafanana kwenye Dr na slaa basi.

Pole zako

 
jiandae kisaikolojia ndugu yangu,lowassa ndiye raisi ajaye.in politics every ting is possible,siasa si kuwa na mawazo yale yale miaka nenda rudi.politics changes!!
 

Teh!teh!daa ndugu nimecheka sana leo,
 
Dr Slaa keep up ndio lugha gani? Kikwenu nini!
 

Tatizo lenu mnajitahidi kutengeneza sababu mnazotaka nyie. UKAWA nia yao sio kwamba wanampenda EL kwa kuwa anafaa kuwa raisi wa nchi hii. Zunguka utakavyozunguka, fahamu kuwa nguvu alizonazo EL ndio sababu ya kumkubali. Nguvu ya idadi ya wafuasi na nguvu yake ya pesa. Ukiunganisha na ukweli kuwa watanzania wengi wameichoka CCM, ni dhahiri kuwa kumpokea pamoja na nguvu ya vyama vyao, CCM lazima itatafuta pa kutokea. Na hilo ndilo lengo kuu. Kuiangusha CCM. Mnaongea mengi tena yaliyo nje ya haya na mengine hata hayana uelekeo.
 
Huyu Dr. Asibembelezwe tena, wamuache tu, li bichwa lake linavimba akisujidiwa. Mbona aliacha kanisa na linaendelea hadi leo. Wamwache apumzike he's nt God. Tumeshamuelewa ni mvurugaji tu achaneni nae.
 
Huyo babu mdini ameona Lowassa sio wa dhehebu lake. ..akafie mbele kazoea kuwa mpinzani
 
Huyu Dr. Asibembelezwe tena, wamuache tu, li bichwa lake linavimba akisujidiwa. Mbona aliacha kanisa na linaendelea hadi leo. Wamwache apumzike he's nt God. Tumeshamuelewa ni mvurugaji tu achaneni nae.

Haika keku!
 
hivi CCM wamesahau kuwa wana mgombea wao na wanahitaji kumpigia kampeni?

Watampigia kampeni kwa wananchi gani? Labda wakampigie kampeni huko Kenya,lakini kwa Tanzania wananchi hawaitaki tena CCM na wagombea wake wote.
 
Kwa sasa wananchi wanataka mabadiliko, Dr slaa aje au asije mabadiliko hayaepukiki.
 
Nasikia CCM wameshampitisha kugombea ubunge karatu ... Huyu Mzee amejidhalilisha sana ... anatumiwa na waaidika wa mfumo ... Hivi pengo ni nani hadi Slaa ajiharibie kiasi hiki?
Jamaa anajua 'kucheza' na CCM waongeze dau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…