Kumpata tena mtu kama Slaa iwapo tutachezea bahati hii itakuwa ndoto na ngumu sana, Nyerere alipita sokoine kapita mrema kasaliti, SLAA tu sasa tusifanye makosa
Ccm inaaminisha kuwa ili uwe kiongozi wa nchi ni lazima Vyombo vya dola vikukubali,ni lazima matajiri wa nje na ndani wajue maslahi yao na ni lazima pia matajiri wakuweke wao
Ni lazima uwe tajiri,nchi nyingi tajiri duniani hazijanaswa na kumpatia fisadi madaraka,anayeweka fedha nyingi kwa raia ila baadae aje kuuza raslimali zetu.Mawazo mfu haya na yale ya kila mtu akiingia madarakani hatawatumikia lazima, arudi achukue chake mapema.
Niwape taarifa watanzania hoja ya kwanza tunataka kuwa tuziache propaganda za ccm tuzingatie;
* kiongozi huyu lazima ahakikishe tuna katiba bora
* Lazima tuwe na maadili ya uongozi ndani ya katiba
* Lazima kipaumbele kiwekwe kupambana na rushwa,ufisadi,udini na ukabila
*Lazima kiongozi huyu atambue kuwa Tabia ya nchi kuiweka kwenye mikopo isiyo na tija ufe
* Lazima awe mlipa kodi mzuri na atasimamia ukusanyaji mapato
* Aonyeshe intergrity &Trust, kubwa
* Lazima awe accountable kwa Raia
* Lazima ahakikishe vyombo vya habari vinalindwa na kupewa msaada kila hali
*Lazima awe mwenye vision and communicative with clear transparenne