Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania



Watu wajinga hufanya mambo ili wawafurahishe watu,bali wenye hekima hufanya mambo wayatakayo" Rode Rockey

Huhitaji taa,kuona hatua ya chadrms iliyopigwa,mlisema chadema iko kilimanjaro tu,leo hii iko hadi Litui mbambay,Mulisema chadema ni ya wachanga,lro hii iko mpaka Tanangozi,mlisema ni ya udini leo waislamu kama akina Salm Mwalimu,akina Jamal Mfaume walioko Mgazini na Mwanamonga wapo,mlisema chama ni cha ukanda leo hii kiko mikia ya Lindi,Mtwara,Songea,Rukwa,Mbeya,njombe,Morogoro,kigoma,Tabora,Singida,Dodoma,Pwani na Mikoa ya ziwa viktoria.

Wakati mkikalia hilo chadema inakata mbuga taratibu kama moto ulao tena kwa uhakika.
 
Dr.Slaa ndio kiboko ya magamba! Hajawai kuiba hata mia tano, anajielewa, nchi hii ataiweza.
 
mkuu umenena vema Sana Dr slaa ni hazina tuliyopewa na Mungu

Mmesikia kwa Musa imenenwa kuwa "USIZINI" lakini Mimi nawaambia mtu atakaemwangalia mwanamke kwa jicho la kumtamani,amekwisha kuzini nae moyoni. Dr.Slaa yeye ndiye kajisogezea kabisa pasina hata ndoa.
Ni Mungu gani huyo anae shabikia uzinzi? Neema ya Mungu haiwezi kushuka sehemu yenye uchafu kama huo.

Hivi Mzee Slaa anaweza kukemea zinaa kama kweli yeye ni neema iliyotoka kwa Mungu?
 

Nampenda sana Dr Slaa,but I am afraid hujatoa hoja za kushawishi Wana CHADEMA,Wana CUF,Wana NCCR-Mageuzi,Wana CCM na wasio na vyama kuhusu sifa alizo nazo za kiuongozi za kuliongoza taifa hili.
Kuongoza chama ni tofauti na kuongoza taifa,mtu anaweza kuwa kiongozi mbovu wa chama lakini akawa kiongozi mzuri sana wa nchi.Watu wanapotaka kuchagua kiongozi wa nchi,sifa za uongozi wa chama si miongoni mwa vigezo watakavyotilia maanani labda kama mgombea aliwahi kuongoza taasisi kubwa isiyo ya kisiasa kwa mafanikio hiyo wananchi wasiokuwa Wana CHADEMA watatilia maanani.
 

Ni watanzania wangapi mmewafunza zinaa kupitia sheria ya ndoa dhaifu ya 1971?,Unataka tukutajie wabunge wa ccm wenye watoto lakini baba hajulikani,tukianza na viti maalum?

Dr.Slaa ameoa,na anaishi na Mkewe,jifunze sheria za Magna carta na za Mungu na Kanisa utanielewa si kubwabwaja tu! ,NI WATU WENYE FIKRA DUNDUIZI WATAKAA KUTIZAMA MAMBO MANYONGE BADALA YA KUFIKIRIA MAMBO MAKUBWA kama umeme wa uhakika,tiba ya uhakika,na Elimu bora na si bora Elimu!
 

ni muda gani umepita toka hiyo 2010? kuna mamilioni wamejiunga.Pili, lazima utambue kuwa ni Dr Slaa aliyeleta msisimko kwenye siasa za tz hiyo 2010 na bahati mbaya watz wengi walikuwa wameshakata tamaa hivyo hawakuwa wamejiandikisha kwenye daftari.
 

naona unabwabwaja, unaongelea zinaa wakati ana make na ana ishi naye? pole sana kwa fikra finyu
 



Mambo matano yanayomfanya awe kiongozi bora
1. Mwenye dira
2.Anaheshimu katiba,
3.Ni muwazi na Mkweli,
4.Mbunifu,
5.Mwadilifu
 
Aliwaambia hawa waliopatwa na balaa hili kuwa mfuko wa cement ungekuwa 5,000 wakapuuzia, sasa ona kuta za nyumba zao zinabomoka kama biskuti!


Yeye Slaa mbona ameshindwa kujenga ofisi za makao makuu ya chama, amezidiwa hata na CUF ambao wanapata ruzuku ndogo zaidi? Ndoa yake na familia tu vimemshinda, ofisi ya makao makuu ameshindwa kujenga, uwezo wake mnaousema uko kwenye nini?
 
kiukweli huyu ndio aina ya kiongozi anayeweza kuinyoosha hii nchi!
 
Mambo matano yanayomfanya awe kiongozi bora
1. Mwenye dira
2.Anaheshimu katiba,
3.Ni muwazi na Mkweli,
4.Mbunifu,
5.Mwadilifu

Whether we like it or not, we need to take a leaf from Kenyan politics to achieve our goals as opposition parties. Wakati wa Presidential debate ktk uchaguzi mkuu wa Kenya,nilipata kumsikia Kenyatta aki_outline policies atakazozifanyia kazi akiwa rais na akawakumbusha Wakenya kwamba mabadiliko anayonuia kuyaleta nchini Kenya alishaanza kuyafanyia kazi akiwa Waziri wa Biashara kama sikosei,kwahiyo alikuwa na supportive argument to backup his claims. Wapinzani mngeanza kukusanya information za kutosha Dr Slaa na historia yake kama kiongozi ili muweze kumnadi kwa mafanikio kwa Watanzania.Msidhani uchaguzi huu utakuwa mwepesi kwenu kwasababu tu CCM wana mgogoro,Mimi sijawahi kuwaamini CCM hata siku moja na hii yaweza ikawa ni moja kati ya mbinu zao nyingi za kuwazubaisha mjisahau halafu mkaja kupigwa vibaya ktk uchaguzi.In fact mimi ninaamini CCM hawana mgogoro wowote na kwakweli Wapinzani mjipange hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…