Na ndiye aliye asisi mchakato wa kumpokea lowassa chadema huku akijua ni fisadi ambaye hawezi kushare naye chama.Dr slaa ni mtu pekee aliyeanzisha vita ya ufisadi bungeni 2005 _2010 na alipita kutuaminisha kuwa lowasa ni fisadi papa na tulikuwa tunamsubiri atuambie ufisadi umeishaje hadi wamempokea au ilikuwa ni kutafuta umaarufu na kumchafua ili chadema ipate kuwa juu,ndiye mtu pekee tuliyekuwa tunamsubiri kwn alipokuwa akizunguka alidai ushahidi anao,jana ndo amekuja na maelezo kuwa hawezi kukaa na mgombea huyo kwani bado anaamini ni fisadi papa na ushahidi na makablasha ndo yale anayo swali ni kuwa kweli upinzani Tanzania upo kweli? Kama ni kweli aliyosema dr na majibu ya tundu lisu kuna mashaka na mustakabali wa hii nchi
Anashindia mihogo wakati analipa airtime ya mil. 200 kwa saa.Acha kumsemea Dr Slaa mla mihogo,kakwambia anashindia mihogo nawe umeamini
Wew hukuwahi kuwa upande wetu. Kwa taarifa yako mliyemtuma na kumlipia pale serena haja tu athiri chochote bali katuzidishia speed ya kusonga mbele. Lowasaaaaaaaaa
Ni Watanzania wangapi wana muda wa kutafakari issues? only 5% tena hata hao 5% wanatafakari na kuyaacha yalivyo wachache sana wanaofanyia kazi tafakuri zao.
Ukurasa wa Slaa umeshafungwa atasahaulika kwa muda mfupi sana, Lipumba alikuwa m/kiti CUF zaidi ya miaka 15 lakini amesahaulika ndani ya mwezi mmoja.
Dr slaa ni mtu pekee aliyeanzisha vita ya ufisadi bungeni 2005 _2010 na alipita kutuaminisha kuwa lowasa ni fisadi papa na tulikuwa tunamsubiri atuambie ufisadi umeishaje hadi wamempokea au ilikuwa ni kutafuta umaarufu na kumchafua ili chadema ipate kuwa juu,ndiye mtu pekee tuliyekuwa tunamsubiri kwn alipokuwa akizunguka alidai ushahidi anao,jana ndo amekuja na maelezo kuwa hawezi kukaa na mgombea huyo kwani bado anaamini ni fisadi papa na ushahidi na makablasha ndo yale anayo swali ni kuwa kweli upinzani Tanzania upo kweli? Kama ni kweli aliyosema dr na majibu ya tundu lisu kuna mashaka na mustakabali wa hii nchi
Khaa!! Hoja ya kitoto sana hii, alale bafuni au jikoni si jambo linalotuhusu wapigakura jibuni hoja haraka sana kabla ya 25Tundu Lisu,"...tatizo ni mama,mama kakataa,siku kamati kuu inampokea Edward Lowasa,Dr.Slaa alilala nje,firstlady alimtupia mabegi yake akalala kwenye gari..."
Hatuna imani na siasa za ukawa hata mjitetee vipi tumechokeza na sias zetu zakutufaya mazezeata shame on you.
Khaa!! Hizo za kumleta Marehemu na kuwatoa walawiti gerezani?Silaha za ccm ndo zimeisha sasa tusubiri za ukawa
Khaa!! Hoja ya kitoto sana hii, alale bafuni au jikoni si jambo linalotuhusu wapigakura jibuni hoja haraka sana kabla ya 25
Hatuna imani na siasa za ukawa hata mjitetee vipi tumechokeza na sias zetu zakutufaya mazezeata shame on you.