Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,344
Reaction score
9,845
Wadau na washika dau wa UKAWA hongereni kwa kazi nzuri na Kampeni zenye mafanikio na za kistaarabu mpaka hapa.

Dr.Slaa ni tatizo lililotegemewa na nishukuru tu kuwa limejionyesha mapema kutupa muda wa kutosha kujipanga.

Kwenye hii vita Dr.Slaa hayupo upande wetu tena na hao ambao hawako upande wetu wako kinyume chetu.
Dr.Slaa jana amezungumzia silaha na vita; the old man wants a war and let us give him one!

Tatizo la Dr. Slaa ni kama kidonda kilichojitokeza juu kwaajili ya ugonjwa ulio ndani so we should treat it topically and systemically.Tukioshe kidonda,tukifunge ila pia sindano, vidonge na hata drip ikilazimu ni muhimu kwa ugojwa ulio ndani.

Dr.Slaa awe sababu ya kutuimarisha na sio kubabaisha umoja huu.Viongozi wa CHADEMA wafahamu kuwa diplomasia na Slaa imeshashindikana so stop being naive and personaly I don't like suprises,so we take them on and give them a campaign they never see before!

Once again into the frey, into the battle we will always be proud of,live or die on this day!
 
Dr. Slaa ni kama hana jipya.

Ilitosha kabisa kusema anajiuzuru siasa na kuelezea jinsi ambavyo mchakato wa kumpokea Lowasa haukumtendea haki. Naamini ameumia kwa hilo na ndiyo maana ameongea yote yale.

Pamoja na yote nayo bado hana madhara makubwa zaidi ya kujiandikia historian mpya kwa upande wake ya kuwa msaliti.
 
Madhara hautayaona sasahivi. Ila baada ya trh 25 utajua kuwa kulikuwa na madhara.
Hizo si story tu za Dr maana hata taasisi mbalimbali za mashauri zimesikia hayo mambo. Na hii ni nchi haitolewi tolewi tu kwa kila mtu. Lazima kuna issue za maadili na ukubali wa vitengo kadhaa vilidhie. Vinginevyo hatutaongozeka.
Hoja zake zina msingi sana ukiwa kama mtz anaekaa na kutafakari mambo. Ukiyachukua juu juu ki ushabiki hautaona kitu. Ulichikisikia kitafakari kisha ongeza akili zako uone ukweli na uongo.
 
Mkuu ungekua Dar ningekuambia jioni upitie mahali uchome mbuzi mzima kwa bili yangu
 
Namjua Slaa ni mwongeaji mzuri anapoamua kupambana kwenye vyombo vya habari huwa hana staha hata kidogo, hivyo viongozi wa Chadema/Ukawa wasijaribu kumjibu au kupambana naye.

Wao waendelee na kampeni wawe kama hawakumsikia.

Slaa alikosea kuanza kuishambulia Ukawa yote ilitosha kusema najiondoa kwa vile tulipishana kimawazo na wenzangu, alichokifanya hakina tofauti na kampeni meneja wa CCM au ACT.

Cha msingi sasa ameonekana yuko upande gani watu wataanza kuyachukulia matamshi yake dhidi ya Chadema na Ukawa kama wanavyoyachukulia matamshi ya Nape au ya wapinzani wengine wa Ukawa.
 
Alaah!! Kama ndiyo hivyo mbona mapovu yalikuwa yanawatoka tulivyokuwa tunawambia Dr.Slaa ni mlaghai.
 
Dr Slaa aende zake.
Maamuzi tulishayafanya na hajatuyumbisha hata kidogo.

Atuambie tu kama Lowassa ni mchafu msafi ni nani!!?
Atuambie anataka tufanye nini sasa! Tuipigie kura ccm!? Tusipige kura!!?

Atoe suluhu!!! Asijiunge na waliojikunyata na kulialia bila suluhu!!
 
Madhara hautayaona sasahivi. Ila baada ya trh 25 utajua kuwa kulikuwa na madhara.
Hizo si story tu za Dr maana hata taasisi mbalimbali za mashauri zimesikia hayo mambo. Na hii ni nchi haitolewi tolewi tu kwa kila mtu. Lazima kuna issue za maadili na ukubali wa vitengo kadhaa vilidhie. Vinginevyo hatutaongozeka.
Hoja zake zina msingi sana ukiwa kama mtz anaekaa na kutafakari mambo. Ukiyachukua juu juu ki ushabiki hautaona kitu. Ulichikisikia kitafakari kisha ongeza akili zako uone ukweli na uongo.
Ni Watanzania wangapi wana muda wa kutafakari issues? only 5% tena hata hao 5% wanatafakari na kuyaacha yalivyo wachache sana wanaofanyia kazi tafakuri zao.

Ukurasa wa Slaa umeshafungwa atasahaulika kwa muda mfupi sana, Lipumba alikuwa m/kiti CUF zaidi ya miaka 15 lakini amesahaulika ndani ya mwezi mmoja.
 
Kila ukipingana na UKAWA kwa sasa silaha yako inakugeuka. Sisi malofa tunasema kuwa wetu ni Lowasa tu kwa sasa! We are more focused than ever!
 
Amenunuliwa Slaa acheni propaganda za uwongo.madudu yoote haya katika nchi hii yeye kawaita waandishi kwa ajili ya richmond kweli ? Tanzania itabaki kuwa masikini sana kama wasomi wetu ndio hao na hoja za kitoto kabisa hazina hata mashiko.
 
Tulishasema hata mh mwenyekiti allkileta za kuleta tunamweka pembeni na kusonga mbele....nimesikiliza clip zilizorekodiwa Serena hotel inayohusu DR mwakyembe na dr slaa....nimejidhihirisha DR slaa na lipumba wameasi mageuzi.

Kwa heri dr slaa.
 
Alaah!! Kama ndiyo hivyo mbona mapovu yalikuwa yanawatoka tulivyokuwa tunawambia Dr.Slaa ni mlaghai.
Hizo ni siasa tu, kila mtu na udhaifu wake hata Slaa ana udhaifu wake, mnapokuwa vitani front huwezi kuanza kumlaumu kamanda wako wakati wapinzani wenu wanawarushia risasi.

Kwa vile kamanda amegeukia upande wa pili ni muda mwafaka sasa wapinzani wake kuuweka wazi udhaifu wake, kama ambavyo CCM wanafanya sasa kwa Lowassa.
 
Hivi kweli watz wamemuelewa Dr slaa?
Dr slaa kweli ametoa ujumbe aliotaka kutoa?
Km hatujamuelewa nn kifanyike, tumpuuze au atueleze upya?
Wachache mlioelewa mnatusaidiaje kuelelwa hoja zake.
 
Asitudanganye?
Tbc ilishindwa kuonesha mkutano wa chadema leo imuoneshe yeye live kwa masaa mawili?

Ana maadili,waliotaka kumhonga akina nani,na je kwa nini anasema anatunza silaha kupambana na nani?

Maaskofu watamjibu lakini atuambie waliolipwa mil 60 Kila mmoja awataje!

Hivi Lowassa ahonge maaskofu tu aache mashehe?

Ccm endeleeni na mchezo
 
Hivi kweli watz wamemuelewa Dr slaa?
Dr slaa kweli ametoa ujumbe aliotaka kutoa?
Km hatujamuelewa nn kifanyike, tumpuuze au atueleze upya?
Wachache mlioelewa mnatusaidiaje kuelelwa hoja zake.
Watanzania walio wengi wamemwelewa Slaa kuwa amekuwa mpinzani wa Ukawa.

Kama alitaka kusimamia utaifa alitakiwa kuchambua wagombea urais wote, lakini instead alionekana shari yake ilikuwa kwa Lowassa na Sumaye utadhani Magufuli hana madudu yake.

Angetaka tumuelewe kuwa anasimamia utaifa zaidi asingejikita kwenye ufisadi wa Richmond pekee angegusia angalau EPA au hata Escrow.
 
Madhara hautayaona sasahivi. Ila baada ya trh 25 utajua kuwa kulikuwa na madhara.
Hizo si story tu za Dr maana hata taasisi mbalimbali za mashauri zimesikia hayo mambo. Na hii ni nchi haitolewi tolewi tu kwa kila mtu. Lazima kuna issue za maadili na ukubali wa vitengo kadhaa vilidhie. Vinginevyo hatutaongozeka.
Hoja zake zina msingi sana ukiwa kama mtz anaekaa na kutafakari mambo. Ukiyachukua juu juu ki ushabiki hautaona kitu. Ulichikisikia kitafakari kisha ongeza akili zako uone ukweli na uongo.

Lipi ambalo limekuwa jipya na geni alilolisema Dr. ambalo halikufahamika kama si ndani hadi nje ya nchi?

Sana sana ni Lowasa kujiunga na waendesha boda boda badala ya wakubwa wazuri wa ccm. Is this an offence? Sheria gani inamhukumu Lowasa kwa kujiunga na CHADEMA bila wakuu wa nini kule sijui? Acha utani jamaa wewe.

Dr. Slaa akitamka kitu ndicho leo unakiona kuwa ni tamko la Mungu?

Aliposema orodha ya mafisadi mbona hamkuwafikisha mahakamani kwa hukumu kwa kuwa Dr. Slaa alisema?

Alipotetea umma mbona mlimvunja mkono na kumpa ulemavu wa kudumu kama mnamwamini ki hivyo?

Tanzania ni ya Watanzania na si ya ccm.

Kwa taarifa yako hotuba ya Dr. Slaa imewafanya watu waelewe kwamba ana hasira zake binafsi na si za nchi kwa kuwa tu viongozi wake waliamua kumpa ugombea Lowasa badala ya yeye. Hilo ni kosa gani kwa shiria ipi number ngapi ya mwaka gani chini ya katiba ipi?

Kama ccm mlijua lowasa ni mchafu kwa kuw aDr Slaa alisema, pia aliwasema kinakikwete n.k kwanini hamjawafungulia mafaili ya uchunguzi muwafikishe mahakamani ili wahukumiwe? Kwa mujibu wa katiba ya nchi ni nani kati ya Dr. Slaa, Wewe, Ccm na Mahakama wenye mamlaka ya kisheria ya kumtia mtu hatiani? Kwa nini mnashindwa kuwafikisha kwenye mahakama ili watiwe hatiani kwa mjibu wa sheria?

Hao unaosema wamesikia ni majuha wa wapi hao ambao watashindwa kuchambua suala lililodhahiri namna hii? Bila shaka watakuwa julmuiya na vichaa.

Kama Slaa alijua lowasa ni mchafu, na kwamba ni mgonjwa wa akili aliwezaje kumtongoza ahamie chadema? Kumbuka kwamba Slaa ndiye alilyeanzisha mchakato huu na yeye amekubali. Halfu leo aone Lowasa hafai kwa lolote na sisi tumuamini katika hil.

Na kwa hiyo unakubaliana na kila alichosema dr. Slaa, hata KWAMBA CCM NI CHOO NA LOWASA NI KINYESI KILICHOOPOLEWA KUTOKA CHOONI NA KULETWA SEBULENI.

KWA AKILI YAKO WEWE, UNAKUBALIANA NA HILI KWAMBA CCM NI CHOO CHA KILICHOJAA NA KAZI YAKE NI KUTUNZIA MAVI?

Kwa hiyo kuna mtu timamu anayweza kudiriki kusema ni afadhali akakae ndani ya shimo la choo linalonyewa mavi na kuyatunza akiogopa jivi moja lililoko sebuleni?

Hizo akili ni za ccm peke yake .

WATANZANIA NDIO WENYE NCHI, TUNAMPIGIA KURA LOWASA CHINI YA UKAWA NA KAMWE HATUTAKUBALI KULAZIMISHWA KUINGIA KWENYE SHIMTUO LA CHOO LINALOTUNZA MAVI KWA MASLAHI YA FUNZA WA CHOONI. HLO SAHAU.

IT IS OVER!. Tumechoka na hila za ccm na sasa tunakwenda kulizika rasmi 25 October.
 
Back
Top Bottom