Dr Slaa hajui kutofautisha mvao wa kichama na wa shughuli za kitaifa?

Mtu wa kazi huyu no ubishoo, unavaa suti wakati watu wako wanavaa mitumba tu ni aibu hii, isitoshe yeye hana wazifa wowote serikalini ya nini kujikweza? Kama mtu ni mchapakazi ni mchapakazi tu hata avae vipi haiwezi kumpunguzia chochote. Sasa nyie na mavazi yenu halafu sisi twavaa mitumba mtajibeba shauri yenu
 
IMG_7299.JPG

IMG_7637.JPG

Dr. Slaa na Spika Makinda Hospitali ya CCBR, Slaa ni mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo.

Dr. Slaa anatakiwa kutofautisha akiwa katika harakati za kichama na shughuli za umma. Si kila anakokwenda ni magwanda tu, siku akiingia ikulu itakuwa ni ikulu nzima full sare za magwanda. Kwa vyo vyote viongozi wetu watofautishe nafasi za kuvaa sare za chama na nafasi ambazo za umoja wa kitaifa ambapo nguo za kwaida zinavaliwa ili mwingine asisikie vibaya kuchangamana kwa kufikiria kiitikadi.
kwa bahati nzuri hatapata hiyo nafasi ya kitaifa zaidi ya kuwa na ya kichama tuuu, kwa hiyo wala usipate tabu mkuu muache avae tu.
 
IMG_7299.JPG

IMG_7637.JPG

Dr. Slaa na Spika Makinda Hospitali ya CCBR, Slaa ni mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo.

Dr. Slaa anatakiwa kutofautisha akiwa katika harakati za kichama na shughuli za umma. Si kila anakokwenda ni magwanda tu, siku akiingia ikulu itakuwa ni ikulu nzima full sare za magwanda. Kwa vyo vyote viongozi wetu watofautishe nafasi za kuvaa sare za chama na nafasi ambazo za umoja wa kitaifa ambapo nguo za kwaida zinavaliwa ili mwingine asisikie vibaya kuchangamana kwa kufikiria kiitikadi.

Wazungu wanasema, ''Intelligent mind discuss issues while small/poor mind discuss people!''
  • Yaani wewe umeona mavazi ya Dr. Slaa ndiyo kitu muhimu cha kuzungumzia badala ya kuzumgumzia tukio lote kwa ujumla na umuhimu wake! Non-sense!
  • Kuna mijitu mingine mnaongea vitu vya kuchefua kabisa. Ndiyo maana tunasema watu wengine mnafikiri kwa kutumia masaburi/makalio yenu.
  • Jaribu kufikiria mara 2 kabla ya kumwaga upupu wako hapa jamvini.Kuna a lot of issues which can be raised by GThinkers to be discussed by this forum. Siyo mavazi ya mtu fulani. Huu ni ujinga kabisa na ni kupoteza muda wako na watu wengine.
Acha ujinga huo, koma kabisa na ukomae.
 
Kama Mtanzania mpenda amani siwezi kuvaa Magwanda hata siku mmoja!

Una wazimu ww?

Mbona Polisi,JW, Magereza,Immigration na wengineo wanavaa magwanda? Ina maana siyo wapenda amani?
Wewe inaonekana hujui nini maana ya amani wala hujui maana ya ukombozi na uhuru!
 
Una wazimu ww?

Mbona Polisi,JW, Magereza,Immigration na wengineo wanavaa magwanda? Ina maana siyo wapenda amani?
Wewe inaonekana hujui nini maana ya amani wala hujui maana ya ukombozi na uhuru!

ha ha ha ha haaaa..... Nimeipenda hii..
 
Back
Top Bottom