Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Jama nimemwona Dr wetu, Dr Slaa! Hivi kumbe ile ajali alopata wakati wa kampeni umemlemaza mkono. Hope Mungu atamjalia apone.
Jama nimemwona Dr wetu, Dr Slaa! Hivi kumbe ile ajali alopata wakati wa kampeni umemlemaza mkono. Hope Mungu atamjalia apone.
Kwa sisi ambao hatukumwona hatuna hakika unazungumzia nini mkuu. Ulemavu gani huo?
Mkuu,Jama nimemwona Dr wetu, Dr Slaa! Hivi kumbe ile ajali alopata wakati wa kampeni umemlemaza mkono. Hope Mungu atamjalia apone.
Mkuu,
Umefanya ufuatiliaji wa ishu hii japo kidogo, au macho yako tu?
Nimeona mkono wake wa kushoto umesinyaa mkuu na nahisi kiwango chake cha kufanya kazi ni hafifu. Ushikaji wake wa kitu sio kwa uimara sana.
Hatutaki ashike kitu....aseme vitu
Nimeyaamini macho yangu kaka. Kwa walioona taarifa ya habari ya saa mbili watakubalina nami mkuu.
Hakufanyiwa physical therapy ya kutosha?Nimeona mkono wake wa kushoto umesinyaa mkuu na nahisi kiwango chake cha kufanya kazi ni hafifu. Ushikaji wake wa kitu sio kwa uimara sana.
Duh, sasa tukiwa na Rais mlemavu itakuwa vipi tena? Atashikana vipi mikono na Obama? Haijatulia kabisa. Namwombea apone mapema.
mnamtumia Dk Slaa kuwanyanyapaa watu wenye ulemavu! Acheni hizo, hujafa hujaumbika!Duh, sasa tukiwa na Rais mlemavu itakuwa vipi tena? Atashikana vipi mikono na Obama? Haijatulia kabisa. Namwombea apone mapema.