Hii itabidi iwekwe kwenye maajabu 7 ya bongo,Dr slaa na uislam au cdm na uislam,sio nyinyi mnaopongeza hapa mwezi mzima mmeutumia hapa jf kuanzisha Uzi za kashfa na kuponda uislam sio nyinyi?
Eti leo wanasifia nakujifanya wanaupendo mno na uislam,huu ni zaidi ya unafiki
Mimi namjua vizuri Dr.Slaa hawezi hata siku moja akawatakia heri Waislam huyu aliyeandika huu uzi ni Makene au Yericko, Dr.Slaa hana muda wa kuongea na Waislam ingekuwa Pasaka sawa.
siyo kila maombi mungu anayapokea, mnafiki kama.slaa mungu hakubali maombi yake, atubu kwanza dhambi ya.kuasi wito, kutelekeza familia na kunyang'anya wake za watu
unashangaa kwa sababu huti kukubali kuwa slaa kuwatakia waislamu sikukuu njema ni sawa na kumpa fisi alinde bucha
acha uchochezi usio na maana hapa! Ina maana jk anapotoa salaam za krismas au pasaka ni kwa maslai gani?mkuu, mfa maji haachi kutapatapa, tangu lini slaa akawatakia heri waislam? Kwa maslahi gani? Kwa nini leo ambapo wameunda ukawa?
pisha wewe rais anaongea na waislam na watz wote
Ni udini tu unakutafuna...Chadema wameanza drama zao toka lini wakawapenda Waislam wakati wafuasi wao wanakesha JF kuwatukana Waislam, Dr.W.Slaa ni member humu JF kashindwa nini kuja na ID yake mwenyewe.
chadema wakiongozwa na YERICKO NYERERE waliutumia mwezi wa ramadhani kuwakashifu waislam
Asante rais wa Wazalendo wote
duh, kwa chuki na uchochezi huu hakuna haja ya wewe kufunga kamwe..Chadema wameanza drama zao toka lini wakawapenda Waislam wakati wafuasi wao wanakesha JF kuwatukana Waislam, Dr.W.Slaa ni member humu JF kashindwa nini kuja na ID yake mwenyewe.
chadema wakiongozwa na YERICKO NYERERE waliutumia mwezi wa ramadhani kuwakashifu waislam
kwa uchochezi huu wa wazi siamini kama wewe ni raia mwema kamwe!Mimi namjua vizuri Dr.Slaa hawezi hata siku moja akawatakia heri Waislam huyu aliyeandika huu uzi ni Makene au Yericko, Dr.Slaa hana muda wa kuongea na Waislam ingekuwa Pasaka sawa.
Umesahau kuwa mtume muhammad ndiye mzinzi namba moja? Kumbuka alimuoa Aisha mtoto wa miaka 6. Ufuska huo...Dini yetu haitaki wanafki.mzinzi,mwizi kama huyu slaa wenu
Wapi tumeukashifu Uislamu?