Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Sasa bila kuchangisha wanachama - chama kitaendeshwa vipi? Chama kumchangisha mwanachama wake ni tofauti na nchi kuomba mchango kwa nchi nyingine. Kama huoni tofauti hapo basi tuache tu.Hataki msaada wakati anachangisha walala hoi kwenye mikutano yake. Amesahau kina lema wanavyo zungusha ndoo za plastic mikutanoni. Na zile hundi alizo chukua kwa yule mzee wa kihindi amesha zisahau. Huu ni unafiki wa hali ya juu kabisa.
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii
Uandishi mzuri ni ule wa mipasho ya kiswahili kama mlivyozoea kwenye ngoma zenu'
Hivi Jk alishawahi kuutubia chuo kikuu chochote duniani?
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii
hampendi kuambiwa madhaifu yenu mnapenda kusifiwa tuu na kupigiwa makofi ee!!!!!!! slaa si chochote ni mharibifu tu wa ndoa za watu tena majirani zake. mahimbo anajuta kuwa jirani yake kule mbezi alivomwibia mke wake
Hataki msaada wakati anachangisha walala hoi kwenye mikutano yake. Amesahau kina lema wanavyo zungusha ndoo za plastic mikutanoni. Na zile hundi alizo chukua kwa yule mzee wa kihindi amesha zisahau. Huu ni unafiki wa hali ya juu kabisa.
Nyerere alishasema hao ni watu waliofilisika kumkichwa..!!
Kuna wakati ambao "education" imetiliwa mkazo katika Tanzania zaidi ya wakati huu wa Kikwete? mashule mangapi? vyuo vingapi? waalimu wangapi? vyuo vya ufundi vingapi? bado mnataka kusema tu?
Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoingia mwaka wa kwanza leo Tanzania ni wengi zaidi ya miaka yote waliyokaa Nyerere, mkapa na mwinyi madarakani kwa ujumla. Bado mnataka kusema tu?
Sisi wengine hatuangalii wala kutazama quantity ya wanafunzi wanaodahiriwa kuingia vyuoni wala idadi ya wanafunzi wanaojiunga na sekondari,bali tunatazama ubora "quality" ya WATAALAMU wanaozalishwa nchini.Ndugu yangu wingi wa shule,vyuo na vyuo vya ufundi si hoja,hoja ni namna watu hawa tuliowapeleka huko wanavyoandaliwa kwa ajili ya kuleta mageuzi chanya katika maisha ya kila siku.. Tukiwa na vyuo vingi halafu tukazalisha watu wasio na ujuzi,wasiojitambua ni sawa na hasara si tu kwa mwanafunzi mwenyewe bali pia kwa TAIFA..
Mkuu hiyo hotuba nyepesi mno, haijanitingisha, kwa wataalam wa uandishi hiyo ni level ya undergraduates, ila mimi nimekuja gundua jambo moja, ngoja tumuache tu naye dr wenu azunguke zunguke aone dunia maana uzee nao umekaribia, tusijekua tunaharibu pensheni za watu, tembea baba uone mengi usimulie wajukuu zako..Sio kwamba huna haja ya kuitafuta Ph.D, ni kwamba uwezo wako ni mdogo sana kiasi ambacho umeshindwa kupata hata hiyo degree ya kwanza!
Hii hotuba si kwamba ni mwiba mchungu kwa buku saba fc tu, bali pia hata mwenyekiti wenu wa magamba hawana uwezo wa kudeliver speech iliyokamilika kama hii.
Mkuu hiyo hotuba nyepesi mno, haijanitingisha, kwa wataalam wa uandishi hiyo ni level ya undergraduates, ila mimi nimekuja gundua jambo moja, ngoja tumuache tu naye dr wenu azunguke zunguke aone dunia maana uzee nao umekaribia, tusijekua tunaharibu pensheni za watu, tembea baba uone mengi usimulie wajukuu zako..