Dr. Slaa Azushiwa Kifo

Kaazi kweli kweli!!! Padri akizushia kifo cha uongo muumini ni kweli, je yeye akizushiwa kifo anaogopa nini si aende akawhi raha kwenye makao mapya huko mbiinguni!!!!:dance:

nani aliye zushia kifo cha uwongo?taarifa za Kifo zilizotolewa na Dr zilitoka kwa mtu wa karibu sana sana na muhisika hakupiga simu kutoa taarifa bali alilaani mashambulizi yaliyotolewa jana yake juu ya muhusika,kwamba ndiyo yamesababisha kifo,Lakini si hivyo tu taarifa za majirani zake zilieleza habari hiyo kilichotokea baadae si jambo la kushangaza sana,kwa mtu yeyote aliyewahi kupata au kupitia machungu ya kufiwa anaweza kuelewa hili.

Binafsi mama yangu alishaingizwa kabisa katika chumba cha kuhifadhia maiti madaktari wakiwa tayari wanaandika report ya kifo chake gafla muhudumu alikuja kutoa taarifa katika chumba cha kuhifadhi maiti kuna mtu ametikisikaa.Hii ilitokea baada ya kumfanyia operation mara nne kwa mfulilizo baada ya kupata ajali na operation ya mwisho haikwenda vizuri.

kwa mana hiyo sikustushwa na habari hizo.Lakini tunapopokea taarifa hizi tunakuwa maakini kwani mengi yalisemwa na kuandaliwa mitego yawezekana bado njama zinaendelea.Nalojua ni jambo moja tu kwa wale wote wanaotega mitego.NI kwamba YEYE AMLINDAE ASINZII WALA HALALI.NA KILA SHIMO WANALOLICHIMBA WATATUMBUKIA WENYEWE,NA KILA MTEGO UTAWANASA WENYEWE.
 
Dr Slaa keshawajibu nadhani wale wote walioleta na kuchochea upuuzi huo wameshapata jibu na nadhani Mods muizuie thread hii kwa kuwa kuna watu wanatafuta ligi isiyo na maana jamvini. Cha ajabu hapa jf wale wote wanaopinga chadema akina kamende,engmtolera na ligogo ndo wanakuwa wa kwanza kushadadia na kutoa ushauri wa kinafiki. Nashauri ccm mtafute njia nyingine za kuisumbua cdm lakini si kwa upuuzi huu. Kwa njia yoyote ile hamtamuweza dr Slaa kwa kuwa dr.anafanya kila kitu kwa uwazi,na hata mkileta mada zenu za ajabu zinashindwa. Ww ndugu engmtolera,uzushi kama huu alaf unaleta matukio ya kolimba,sokoine n.k ili kuijengea jamii saikolojia mbovu!! Tunawajua wote wasiopenda mazuri yatokee ndo maana wengi mko jf kulinda ufisadi wa waliowatuma. Sijapenda. Tukae pamoja kuijenga Nchi.
 
ukweri ni kwamba,wanazusha ili uzushi ukikubarika wafanye kweri kumkolimba,lakini watakua maeitimisha/wametamati kibwagizo cha shairi waliloimba kwa muda mrefu 'vijana wanataka kuleta machafuko' mungu ibariki tanzania.
 
zilikua story za kijiweni tu!

Unapozileta kwenye Hii forum unazidi kuzikuza zaidi, yaani unausambaza uzushi zaidi.

Kuleta kwenye forum ni vizuri zaidi kwani ukweli unapatika mara moja na kuwatia aibu zaidi wahusika.
 
Dr Slaa keshawajibu nadhani wale wote walioleta na kuchochea upuuzi huo wameshapata jibu na nadhani Mods muizuie thread hii kwa kuwa kuna watu wanatafuta ligi isiyo na maana jamvini. Cha ajabu hapa jf wale wote wanaopinga chadema akina kamende,engmtolera na ligogo ndo wanakuwa wa kwanza kushadadia na kutoa ushauri wa kinafiki. Nashauri ccm mtafute njia nyingine za kuisumbua cdm lakini si kwa upuuzi huu. Kwa njia yoyote ile hamtamuweza dr Slaa kwa kuwa dr.anafanya kila kitu kwa uwazi,na hata mkileta mada zenu za ajabu zinashindwa. Ww ndugu engmtolera,uzushi kama huu alaf unaleta matukio ya kolimba,sokoine n.k ili kuijengea jamii saikolojia mbovu!! Tunawajua wote wasiopenda mazuri yatokee ndo maana wengi mko jf kulinda ufisadi wa waliowatuma. Sijapenda. Tukae pamoja kuijenga Nchi.

Huwa napatwa nawasiwasi sana napokutana nawatu kama wewe
nashindwa kuelewa na kuamini hayo uliyo yaandika,ama kwa kuwa nipo kinyume na Masanilo na Quinine? usiusemehe moyo na kujifanya kuwa wewe ndio muumini haswa wa CDM wapo waumini na hawasemi hata hawajatowa kauli ya kuwaondoa ktk CDM wasio wana CDM ama walio wana wana CDM
Kama kichwa kinafanya kazi unaweza elewa nini nimemaanisha ila kama na wewe ni wale wa kujaji ili uonekane ni muumini ok,endelea kuwa na hizo fikra
ila lengo langu litabaki palepale kutoa maoni kwa jinsi nionavyo pasipo ingilia uhuru wa mtu

PAMOJA DAIMA,KWA PAMOJA TUTAFIKA
 
Aliyezushiwa Kifo ni Slaa, na yeye alishawahi kuzushia watu kufa! Mmeona hilo la kwenu ndio baya, kwanini hamkujitokeza wakati ule na kukemea uzushi aliotoa huyo dr wenu? Kama nyinyi mnashindwa kusema ubaya wa nyumbani basi si washauri wazuri wa familia bali ni wapambe, huyo dr kama mtakua mnampamba kwa zuri na baya basi mnampeleka kubay. Mtu mzima akikosea aambiwe na akifanya vizuri asifiwe.
Pole sana Dr kwa hilo, lakini ndio siasa ulizozifanya mda mfupi uliopita. Chunga sana maneno yako, si kila taarifa unayoletewa ni sahihi, ukiwa una taarifa ambazo ni danganyifu utawafanya watu watilie shaka hata zile za ukweli, si vijana wako wote wanaokuzunguuka ni makini!
 
usijekuta wanataka kumrestisha in peace kweli,make nji hii wakiona unawazd kete wanakumaliza,kwa majini saiv haiwezekani jini mkuu yupo ujinini,ila wale wenye riffle na ak 47 wapo kibaaaao,hebu watuachie huyu mtu aipe changamoto hiyo ccm!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom