Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Wakuu JF Amani iwe Nanyi.
Katika muendelezo wa kile kinachojulikana kama Elimu ya Uraia itolewayo Bure na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Safari hii somo lilienda kwa jeshi la Polisi.
Polisi hao wamemuomba Dr Slaa kulikumbuka Jeshi la Polisi Pindi CHADEMA itakapotwaa Madaraka 2015.
Wamesema kuwa CCM imewasahau na kuishia tu kuwatumia na kuwasahau kabisa kuanzia kwenye Mishahara yao Mpaka kwenye Nyumba wanazoishi.