Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

hivi mbona watu waleta kichefu chefu hapa jf????? acheni hizo mtafanya watu watapike , eti mkweli toka lini tuulize
 
rais wetu uyo mzalendo wa ukweli na c wajinga jinga wa chama cha ma k
 
Dr.Slaa ndiye mzalendo wa kweli, Mungu akulinde Rais wangu.
 
Utafiti halali unaonyesha kwamba DR SLA ndiye mtu maarufu zaidi hapa TANZANIA kwa hivi sasa .
 
mkuu usihangaike na lumumba project .

Kwanini kila jambo mnakimbilia Lumumba..... emu sometimes tujaribu kujibu hoja kwa hoja na si kila kitu ni Lumumba........!!! ipo wapi taarifa ya matumizi ya fedha za misaada ya fedha ndani ya CDM na pesa ya ruzuku inayoipata kutoka serikalini...??? Acha kukimbilia Lumumba au na wewe ulishaingia kwenye hilo kundi ukatoka.....
 
Basi kama ndivyo..... afanye hivyo hata ndani ya CHADEMA pia.....

Chadema hakuna ufisadi Mkuu, Kuna mwenye taarifa za Ubadhirifu wa Fedha Chadema awataje wahusika hadharani,na Ulinzi atapewa.
 

ccm kwa wivu utadhani wake wenza,si mwanaume wala mwanamke wote mnafanan tabia
 
We umevurugwa, huko nyuma hukuwa hivyo.

hahaaaaa! Mkuu ukishindwa hoja kaa kimya sio kuongea maneno yenye fumbo linalo maanisha matusi, kweli ccm mmelaaniwa kabisaaaaaa hayupo hata wa afadhari kati yenu,
 
Unaambiwa makamba alisha wah kusema kati ya wanasiasa wote wanaweza kupoke mlungula (Rushwa) isipokua yule Padri (Dr Slaa)
 

ccm hamna hoja hata kidogo mmekazania hoja zisizo wahusu,ruzuku ya chadema wewe inakuhusu nini?hivi hamuoni hata haya kufuatilia matumizi ya pesa ambazo haziwahusu?hivi unaanzaje kuuliza bajeti ya maisha ya jiran yako? Huu umbea vijana wa ccm utawaisha lini?
 
hahaaaaa! Mkuu ukishindwa hoja kaa kimya sio kuongea maneno yenye fumbo linalo maanisha matusi, kweli ccm mmelaaniwa kabisaaaaaa hayupo hata wa afadhari kati yenu,

Hakuna fumbo hapo, nasema ukweli tupu! Mtu mzinifu, mwizi wa fedha za umma, na bora uulize wakwambie ni kwa nini alifukuzwa kwenye utumishi wa Mungu? Unajua sababu wewe? Na mkopo aliojikopesha ameshaanza kuurudisha? Misukule mtumie na akili zenu sasa.
 

Hizo fedha za ruzuku ya chadema zinatuhusu wote kwani zinatokana na kodi ya wananchi wote bila kujali itikadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…