Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Aa Hawajamtendea Haki Dr, Yule Sio Africa Tu, Ni Duniani Kwa Ujumla, Yani Yule Mzee Aisee Ni Hatari.
 
Familia kate rero,mama mshu mbishi.
 
Huoni kwamba hio ni ccm huku ni Chadema

Nilijua tu utashindwa kunielewa,kwa mujibu wa taarifa rasmi CCM ndi chama chenye wanachama wengi TZ,sasa wenyewe wako mil 4 huyu DJ msaidizi wa Mbowe anatuambia Chadema ina wanachama mil 10,unawanachama mil 10 uchaguzi unapata kura mil 2 hao mil 8 ni wasaliti fukuza.
 
Habari ya 2013 unaleta Leo.Shetani gani Chadomo anawadanganya kiasi cha kuchanganyikiwa kiasi hicho.Wakati kibabu cha Watu anajipooza na kibinti cha watu USA mida hii
 
Dokita Silaha AMEm-biti profes@ Lipumba duh!
Kweli huyu dokta anafaa kabisa kuitwa mchumi makini.

Cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Cdm ni mabigwa wa uongo . uwe na wanachama ml 10 ukose kula ml 7 ili kutangazwa rais? Sasa maana ya kapeni nini?
 
Jamaa anayezungumzia pochi ya USD 500 ivi anajua Jk alitumia USD ngapi kutibiwa tezi dume atupe data basi
 
iki kibabu kischo na adabu labda kitakua kimevunja rekodi ya unzinzi tu na kuingia gest zote za dar..
 
Yaani huyo mzee anafanya kazi pale CCBrt kwa kutumia fani gani !? Hana utaalamu wa uongozi. Wala sio mhasibu pale ... sasa yeye pale ni political figure tu. Sasa ni kweli hizo sifa anazistahiki kweli. Ila mbona anashindwa kuing'oa CCM ?!
Mkuu kilimo kwanza imempa JK PhD, pale China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…