Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha ya kuwa aliyekuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chadema Dr. Slaa ambaye wengi wetu tunaamini ndiye aliyeshinda kinyang'anyiro cha Uraisi ametoa sharti la mazungumzo na serikali ya CCM kuhusiana na utata wa matokeo......
Nao CCM kupitia Katibu Mkuu Makamba wametoa tamko la kupinga kuwa hakuna uhaja wa vyama hivyo viwili kukutana kuzungumzia uchaguzi ambao ulikwisha kuyfanyika vizuri kulingana na sheria ya uchaguzi..........................
"..............Nao CCM kupitia Katibu Mkuu Makamba wametoa tamko la kupinga kuwa hakuna uhaja wa vyama hivyo viwili kukutana kuzungumzia uchaguzi ambao ulikwisha kuyfanyika vizuri kulingana na sheria ya uchaguzi.........................."
Nchi yenye usalama wa Taifa imara, mtu kama Makamba, RA, EL etc ilibidi wawe washauawa for the sake of more than 40mil Tanzanians.
Nionavyo atoe masharti asitoe nataka kufahamu toka kwa Dr.Slaa ameshindwa kwa kura ngapi ameshinda kwa kura ngapi.Bado nimesimamia pale aliposema matokeo ya tume nec na vituo vya kupigia kura vinatofautiana ninachotaka kujua ni tofauti hiyo IKOJE mambo ya masharti hayo ni baadaye.
Wenzake washaingia magogoni sasa nashangaa anatoa wapi ultimatum.. ata protests kashindwa ku-organize sasa si bangi hizi..