Elections 2010 Dr. Slaa atoa sharti la mazungumzo na serikali.................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha ya kuwa aliyekuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chadema Dr. Slaa ambaye wengi wetu tunaamini ndiye aliyeshinda kinyang'anyiro cha Uraisi ametoa sharti la mazungumzo na serikali ya CCM kuhusiana na utata wa matokeo......

Nao CCM kupitia Katibu Mkuu Makamba wametoa tamko la kupinga kuwa hakuna uhaja wa vyama hivyo viwili kukutana kuzungumzia uchaguzi ambao ulikwisha kuyfanyika vizuri kulingana na sheria ya uchaguzi..........................
 
Mtoa hoja umeifanya hoja ikose uchangamfu kwa kushindwa kwako kutoa masharti aliyoyasema Dr Slaa,ili aweze kuzungumza na serikali!
 
"..............Nao CCM kupitia Katibu Mkuu Makamba wametoa tamko la kupinga kuwa hakuna uhaja wa vyama hivyo viwili kukutana kuzungumzia uchaguzi ambao ulikwisha kuyfanyika vizuri kulingana na sheria ya uchaguzi.........................."

Nchi yenye usalama wa Taifa imara, mtu kama Makamba, RA, EL etc ilibidi wawe washauawa for the sake of more than 40mil Tanzanians.
 
Mazungumzo ni kitu kizuri kwa sababu ni njia salama kuondoa tofauti baina ya pande mbili zinazo kinzana,ila sio sababu ya CDM kung'ang'ania majadiliano kwa sasa wakati mtuhumiwa still haitaji mjadala kutokana na udikteta uliokithiri.CDM must kp on fight till sauti za wanyonge zitakapo sikika dat tym wataomba mazungumzo wenyewe.CDM mnatuwakilisha wengi your fall is ours stay on fight til its over
 
Nadhani mojawapo ya mashariti ni pamoja na kutungwa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Kwa kuwa Dr.Slaa ni mtu makini sidhani kama anaweza kuruhusu mambo ya cufu na ssm kule Zanzibar! Dr.Slaa na watanzania wote kiujumla kazi yetu tuliyonayo sasa baada ya uchaguzi ni kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi na kama hili tukilifanikisha tutaweza kuizika ssm ambayo kansa ya uongozi imekuwa ikiitafuna kwa kipindi kirefu sana! Watanzania inabidi tutambue kuwa matatizo tuliyonayo hayawezi kutatuliwa na mgonjwa sugu wa kansa kama alivyowahi kusema baba wa taifa! Tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili chaguzi zinazokuja zisitawaliwe na uchakachuaji na huyu mgonjwa sugu wa kansa tumzike salama kwa sababu hatii matumaini kabisa ya kupona na anazidi kusababisha hasara kubwa kwa taifa na kwa kila mtanzania mmoja mmoja! Tukiamua na kudhubutu tunaweza! Wabunge wetu wameonyesha njia!
 
Wenzake washaingia magogoni sasa nashangaa anatoa wapi ultimatum.. ata protests kashindwa ku-organize sasa si bangi hizi..
 
Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha ya kuwa aliyekuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chadema Dr. Slaa ambaye wengi wetu tunaamini ndiye aliyeshinda kinyang'anyiro cha Uraisi ametoa sharti la mazungumzo na serikali ya CCM kuhusiana na utata wa matokeo......

Nao CCM kupitia Katibu Mkuu Makamba wametoa tamko la kupinga kuwa hakuna uhaja wa vyama hivyo viwili kukutana kuzungumzia uchaguzi ambao ulikwisha kuyfanyika vizuri kulingana na sheria ya uchaguzi..........................

Mnatuposhosha Dr. Slaa ameshinda au ameshindwa kwa kura chache?????????????
Ushabiki huu mi simo!!!!!!!!!11
 
Natoa angalizo kwa JK; mkubwa watanzania wa leo si wale wa miaka 10 iliyopita........wamejua haki zao hivyo ni bora ukasikiliza hoja za chadema kwani ni hoja za msingi na hizi hoja watanzania tuliokuwa wengi tunazikubali, ukipuuza kama mzee Makamba litakuja kukugharimu, Makamba ni mtu hatari sana........hayitakii hii nchi mema anafikiri anayopanga, kufanya na kuamua ni faida kwake na chama chake, la hasha.......hayo yameua na yanaendelea kuuwa chama na yasipokabiliwa baadaye yataleta machafuko ndani ya nchi, bwana mkubwa angalia sana hii miaka mitano isije ikawa ya kukutengenezea barabara ya kuelekea the HEGI wewe na Makamba...........angalia Ruto anavyoangaika sasa! kumbuka kuwa hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho!!!! Mungu wetu atasimama haki itendeke.

"..............Nao CCM kupitia Katibu Mkuu Makamba wametoa tamko la kupinga kuwa hakuna uhaja wa vyama hivyo viwili kukutana kuzungumzia uchaguzi ambao ulikwisha kuyfanyika vizuri kulingana na sheria ya uchaguzi.........................."

Nchi yenye usalama wa Taifa imara, mtu kama Makamba, RA, EL etc ilibidi wawe washauawa for the sake of more than 40mil Tanzanians.
 
Nionavyo atoe masharti asitoe nataka kufahamu toka kwa Dr.Slaa ameshindwa kwa kura ngapi ameshinda kwa kura ngapi.Bado nimesimamia pale aliposema matokeo ya tume nec na vituo vya kupigia kura vinatofautiana ninachotaka kujua ni tofauti hiyo IKOJE mambo ya masharti hayo ni baadaye.
 
Ninakubaliana nawe......hata wangebandika kwenye website yao kutujulisha hali halisi..................badala ya kubakia kudai wananakusanya takwimu .....zipi hizo zisizo kuwa na ukomo wa muda?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom