Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Kwa hiyo hizo salam haziwahusu waislam?
Haoni aibu madhambi yote haya aliyonayo hata kuongea mbele za watu.
Anatarajiwa kuwa rais wa nchiz?!
Kwa hiyo hizo salamu ametoa kwa wakristo peke yao
I Like his speech. Gwajima striked the balance to welcome our potential presidetial candidate. We havr been hearing EL too much in that church and was wondering what a big share he has and where does he get moral authority with richmond scandals....
Pamoja sana Kamanda Mutakyamirwa
Ni vizuri sasa unaelewa kuwa dkt Slaa ni rais wa wote. Siku nyingine akipata mwaliko wa waislamu pia atahudhuria
Mkuu unamaanisha atakuwa rais wa machiz??
Tanua ubongo kabla ujapanua mdomo
Wewe msakatonge umeelewa alichoandika hapo?
Wewe ndio msakatonge unaejifungia kwenye vubuyu vya lumumba naona ile ruzuku yenu hakuna tena sasa mnafikiria kuiba wapi?
Wewe ndio msakatonge unaejifungia kwenye vubuyu vya lumumba naona ile ruzuku yenu hakuna tena sasa mnafikiria kuiba wapi?
Mkuu umetika nje ya mada, nyie ndiyo hamfai kabisa kama fuso tu 600m je mkiongia madarakani si balaa?
Kamanda Chademakwanza nimecheka sana.Naona unawapa za uso tu
Kamanda Molemo hawa jama wameishiwa mpaka mawazo huwezi amini eti mtu anatumwa atengeneze vipeperushi vya wongo kwenye serekali za mitaa vyakumchafua. Kamanda lakini nimeamini chadema ni mpango wa Mungu maana wameshindwa kulipa hela walio kubaliana sasa wanaanza kushikana manyoya
Kila la kheri Dr Slaa,Mungu akulinde ukaliongoze taifa letu kwa haki na usawa.