Dr Slaa atoa salamu za Mwaka mpya...

Na Salamu alizotoa Dr Bilali uwanja wa Taifa nazo ni za Wakristo tu?

Kwa nini padri slaa atoe salam kanisani huu ni udini wa hali ya juu sana.bilali ni muislam kwenda kanisani ameonyesha uungwana
 
Kwa nini padri slaa atoe salam kanisani huu ni udini wa hali ya juu sana.bilali ni muislam kwenda kanisani ameonyesha uungwana

Unaonyesha wazi wewe ni mtu mpuuzi tu.Baada ya kugundua wewe ni mpuuzi kwa ulichoandika usitarajie nikujibu tena!
 
Huyu mtu ni muhimu sana watanzania tumsaport kwa kua anamawazo na moyo wa kutuôgoza,.uwezo wake na umakini wake.Heshima kwako dr slaa
 
Hapo Slaa mzinzi na mchungaji mzinzi hapo wame mechi.
 
Mi nadhan siku ya idd waislam wakimkaribisha atatoa salam kwa watz tena
 
Hapo Slaa mzinzi na mchungaji mzinzi hapo wame mechi.

Wewe mbona unapumuliwa kisogoni hatusemi? kwasabu tunajua wewe ndie unaeumia,toa kibanzi jichoni kwako kwanza ndio useme yawengine
 
Wewe mbona unapumuliwa kisogoni hatusemi? kwasabu tunajua wewe ndie unaeumia,toa kibanzi jichoni kwako kwanza ndio useme yawengine

Gwanjima hajavunja ndoa ya mtu? Slaa hajavunja ndoa ya mtu? Sasa unachotetea nini?
 
Gwanjima hajavunja ndoa ya mtu? Slaa hajavunja ndoa ya mtu? Sasa unachotetea nini?

Hayo mambo binafsi hayatuhusu kama taifa nakama ingekuwa hivyo tungeanza kwa prof wa kichina kwa sbb ndie Rais mzinzi aliyewahi kutokea A.Mashariki na Kati mpaka kubambikia watu kesi nakuwafunga kisa uzinzi,lakini pia sijaona uthibitisho wako dhidi ya Rais wetu wa mioyo Dr Slaa.Au kama wewe ndie uliyeibiwa mke jitokeze tukuone mana hiyo film ilishakosa uthibitisho
 
Audio vipi?
 
mkuu hawa wachumia tumbo tulitegemea watakuja na vioja...tusi wa quote wala kuwajibu nikutafuta ban na kuwapaisha tuwapotezee

Kwa hiyo Makamu wa Rais Dr Bilali aliyeshiriki mkesha wa Wakristo uwanja wa Taifa naye ni mdini sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…