Dr Slaa atoa Onyo kali kwa wabunge wa CCM

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema ameshangazwa na taarifa za tishio la wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kugomea kujadili muswada huo. Amesema endapo watayagomea marekebisho hayo na kuyarudisha kwa Rais Kikwete anaweza kuamua kuvunja Bunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Alibainisha kuwa wabunge wa CCM wasiozidi 300 hawawezi kuzuia maoni ya Watanzania wasiopungua milioni 40 na endapo watafanya hivyo watakuwa wanamwelekeza rais kuvunja Bunge. “Wabunge wa CCM wakumbuke kwamba serikali imepeleka muswada huo kwao si kwa sababu yametolewa mapendekezo na CHADEMA au chama cha siasa tu, umejadiliwa na Watanzania wengi. “Kama kweli wataugomea na kuurudisha kwa rais tena, rais anaweza kuamua kuvunja Bunge kwa mujibu wa Katiba,” alisema.

SOURCE:TANZANIA DAIMA
Kama nilivyowahi kutabiri, 2012 ni uchaguzi mkuu, sasa dalili zimeanza kuonekana.
 
inasemekana wabunge wa CCM hawana shida na huo muswada,ila wanachotaka JK aridhie posho zao ndo kila kitu kitaenda sawa.Mkono mtupu haulambwi ati!

Na kweli wanatingisha Kiberiti hawa. Endapo wakigoma basi wabunge wa Upinzani watawazomea :yawn::yawn::yawn::lol::lol::lol:

mechi itakuwa droo.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
slaa nae kichwa chake kama katuni . Eti wabunge wasiozidi mia tatu watakuwa wamekataa maoni ya watanzania milion arobain, hivi hao watanzania wako mfukon mwake,au mdomoni mwake yeye ameonana lini na watanzania wengi kuliko walionana na wawakilishi milion arobain. Wabunge ni wawakilishi wa kikatiba wa wananchi je slaa anqmwakilisha nani. Masaburi makubwa kichwani

Yaani wewe ndugu yangu naona kichwa chako kimejaa uji tena wa chumvi!!!!!

Kwani ni nani sasa hivi mwenye akili timamu ambayo haijapata kutu , umkute anaipenda CCM. Wote mitaani kwako wanaoshangilia Chama Cha Mafisadi utawakuta akili zao zina kutu, wachunguze wanaishi maisha ya dhiki mlo mmoja lakini wanapiga kelele KIDUMU CHAMA CHA MAJAMBAZI. Wachunguze hata chini wamevaa Kandambili ambazo kisigino kinalamba mchanga kwani zimeisha zipo nusu kutokana na maisha magumu. nakuona hata wewe hapo najua umevaa YEBOYEBO ambayo ipo nusu kisigino kilamba mchanga. Lakini kutwa KIDUMU CHAMA CHA MAJAMBAZI. Ndio wale mliowaona pale Mwanza juzi wamekusanywa toka mikoa tofauti wenye akili zenye kutu ili wakapige kelele KIDUMU CHAMA CHA MAJAMBAZI. Wakati ndugu zetu wanakufa mahospitalini nyie mnaenda Mwanza kutumbua pesa za Taifa na kushangiilia jinsi mnavyotoa watu Kafara katika mahospitali kwa kusema KIDUMU CHAMA CHA MAJAMBAZI.
MTALAANIKA WOTE NYIE MLIOKUNYWA MAJI YA BENDERA"

Kwa Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kushabikia Katiba ambayo ni mbovu, ndugu yangu wewe usiwe kama Bendera unafuata tu eti kwa sababu baba ni mjumbe wa 10 nyumbas CCM, basi na mimi siwezi kubadilika.

Anaowangelea Dr. Slaa ni wale wenye akili timamu ambao wanajua kuwa maisha mabovu ya MTZ ni kutokana na katiba mbovu inayowakumbatia wachache na wengi kuishi kwa mlo mmoja tena Chips Dume.

MTALAANIKA WOTE NYIE MLIOKUNYWA MAJI YA BENDERA"

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
slaa nae kichwa chake kama katuni . Eti wabunge wasiozidi mia tatu watakuwa wamekataa maoni ya watanzania milion arobain, hivi hao watanzania wako mfukon mwake,au mdomoni mwake yeye ameonana lini na watanzania wengi kuliko walionana na wawakilishi milion arobain. Wabunge ni wawakilishi wa kikatiba wa wananchi je slaa anqmwakilisha nani. Masaburi makubwa kichwani

Nina wasiwasi na wewe unayewashambulia watu wanatoa suluhu ya tatizo. Haya ndiyo mawazo uliyodhani yanatufaa watanzania? Dah pole yetu.
 
Tuna wanasiasa wanafiki walio wengi ambao wako zaidi kwa maslahi binafsi.Hii ni hatari nyingine kwa Taifa !!
 
slaa nae kichwa chake kama katuni . Eti wabunge wasiozidi mia tatu watakuwa wamekataa maoni ya watanzania milion arobain, hivi hao watanzania wako mfukon mwake,au mdomoni mwake yeye ameonana lini na watanzania wengi kuliko walionana na wawakilishi milion arobain. Wabunge ni wawakilishi wa kikatiba wa wananchi je slaa anqmwakilisha nani. Masaburi makubwa kichwani

Dr slaa akishauriwa na Josephine wakiwa chumbani huku kitoto chake cha miezi 3 kimelala basi anaona mawazo ya Josephine ni watanzania milioni 40
 
mipovu yawatoka na mikopo ya mamilioni wanayodai sasa wanaona kulipa ni mwiba kama posho hizo hazitakubaliwa......
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema ameshangazwa na taarifa za tishio la wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kugomea kujadili muswada huo. Amesema endapo watayagomea marekebisho hayo na kuyarudisha kwa Rais Kikwete anaweza kuamua kuvunja Bunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Dk. Slaa alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, juu ya taarifa za wabunge wa CCM kutishia kugomea mjadala wa marekebisho hayo. Alisema wabunge wa CCM wanapaswa kuzingatia utaratibu uliotumika kupata maoni mbalimbali yakiwamo ya vyama vya upinzani, taasisi zisizo za kiserikali ambazo zilitoa maoni yake.

Alibainisha kuwa wabunge wa CCM wasiozidi 300 hawawezi kuzuia maoni ya Watanzania wasiopungua milioni 40 na endapo watafanya hivyo watakuwa wanamwelekeza rais kuvunja Bunge. “Wabunge wa CCM wakumbuke kwamba serikali imepeleka muswada huo kwao si kwa sababu yametolewa mapendekezo na CHADEMA au chama cha siasa tu, umejadiliwa na Watanzania wengi. “Kama kweli wataugomea na kuurudisha kwa rais tena, rais anaweza kuamua kuvunja Bunge kwa mujibu wa Katiba,” alisema.

Dk. Slaa alisema anashangazwa sana na wabunge wa CCM ambao wamekuwa wakijigamba kwamba serikali inayoongozwa na chama chao ni sikivu halafu hao hao tena washindwe kutekeleza yaliyofikiwa na serikali hiyo hiyo. Alisema wabunge ni lazima waonyeshe uzalendo wao kwa Watanzania kwa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria badala ya kushindana na mamlaka ya rais

SOURCE:TANZANIA DAIMA

mzee kwa kukurupuka hajambo,haya maoni ya watz milioni 40,yanajulimshwa vp?,watoto,mpaka wazee?,yame/yata kusanywa nyumba kwa nyumba?
 
Back
Top Bottom