Dr W P Slaa kiboko. Hata kama MaCCM hawataki hadharani ila wakijifungia wanakubali huyu presidaa wa mioyo ni nouma. Kaimarisha chama, kakutana na wananchi mkoa wote wa Kigoma, pamoja na tararira nyingi sana za Magamba wakisaidiana na Masalia.
Huwezi kuzuia nguvu ya Mungu kwa Ushirikina wa kuuwa panya.
Tunashukuru sana wanchi wa Kigoma, pamoja na nguvu nyingi kutumika kuhujumu mikutano ya CDM ila wananchi wameonyesha uzalendo wa hali ya juu. Hatumchukii Zito hata kidogo tunachukia matendo yake maovu tu. Msaliti ni msaliti tu, ZZK amesaliti watu wa Mwandinga kuliko sehemu yeyote ile ya nchi, walimtegemea, walimwona kiongozi leo wanashangaa nini kimemkuta.
Mwandinga asanteni sana, na hii iwe fundisho kwa yeyote msaliti-Chama ni maarafu kuliko mtu.