the hero man
Member
- Oct 1, 2013
- 65
- 10
Wanajamvi;
Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa
imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na
jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye
mitandao yao ya kijamii.
Angalia link hapo chini;
Siasa
254: Speech by the Leader of Opposition in Tanzania to the Students of
the University of Samford-USA.
It was really a Stunning Speech.
God bless you Dr Slaa...May you long live for us to see the better
Tanzania.Together we Can.
kaka yangu Dr Slaa nakukubali sana.
Wanajamvi;
Kama utani vile lakini ndio kweli.Ile speech aliyoitoa Dr Slaa sasa imeonekana kukubalika katika baadhi ya nchi za kiafrika.Kuanzia na jirani zetu wakenya ambao wao sasa wameanza kuijadili hotuba hiyo kwenye mitandao yao ya kijamii.
Angalia link hapo chini;
Siasa 254: Speech by the Leader of Opposition in Tanzania to the Students of the University of Samford-USA.
It was really a Stunning Speech.
God bless you Dr Slaa...May you long live for us to see the better Tanzania.Together we Can.
That was a blockbuster; a master piece; Imenikubusha speech za Mwalimu Nyerere; Osagyefo Kwame Nkrumah na Martin Luther King! Kina Dr. Benson Bana na wataalamu wetu wengine Coke Zero; waisome hiyo speech waikariri na ifundishwe kwa wanafunzi wa political science na development studies. Well done dr. Slaa; viva CDM
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!
Wacheni uongo, hako kamebandikwa kwenye blog moja tu na comment iko moja tu. Sasa ni wapi media "za" Kenya zinapoijadili?
Hivi uongo unawasaidia nini? Siwashangai, ikiwa viongozi waongo, nyie misukule si ndio kabisaaa.
Wacheni uongo, hako kamebandikwa kwenye blog moja tu na comment iko moja tu. Sasa ni wapi media "za" Kenya zinapoijadili?
Hivi uongo unawasaidia nini? Siwashangai, ikiwa viongozi waongo, nyie misukule si ndio kabisaaa.
Napata shida kidogo maana Manifesto ya Elimu kwanza ni ya Mh. Lowasa; CCM wao ni Kilimo Kwanza, CUF sijui Fursa sawa kwa wote.........hii ya Elimu kwanza was there in 2010 CDM election manifesto? Siamini kama Mh.Lowasa hii kitu amekopa CDM bali CDM wanataka kupora hii slogan ya Mh. Lowasa.
NB: Mimi si mwanachama wa chama chochote
Hiyo hiyo moja mzee wa magogoni amewahi kuandikwa hata na hiyo moja....at least kwenye positive thing kama hii
mbona iko wazi mkuu au ka lugha kanasumbua unashindwa kuona tofauti!Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!
Unalia na nani? gamba
Chadema Inapafwa kumtumia Slaa vizuri kwani ni azina.