Dr. Slaa atazishinda propaganda dhidi yake!

Ufisadi mradi wa maji karatu.hoja za magafu wa bavicha mwanza na kisandu wa bavicha tanga
 
 
Last edited by a moderator:

Anayepaswa kuomba msamaha kwa wote wawili ni wewe maana unajiingiza kwenye private issues za watu maana unamwaminisha mtu ajione ana mke kumbe sio kweli. Kwa mila zetu za kiafrika mwanaume ndiye huacha mwanamke. What pains the man who got divorced is that he's noe exposed and shortsighted people are becoming more concerned than the concerned. The weaer of the shoe is the one who knows how it pinches. Sasa wewe na nukuu zote kinakuuma nini. Ukikita unayemtetea hana sifa za kuwa mwanaume maana kuwa. Mwanaume sio cheti au madevu ni vitendo what qualify him to be a man- to be a husband
 
Ufisadi mradi wa maji karatu.hoja za magafu wa bavicha mwanza na kisandu wa bavicha tanga
Kambi ya ''Masalia'' kwa sasa amebaki Boss peke yake na ile misukule yake anayoitunza Dar, wapenzi na mashabiki wake wote wamemkimbia.
 
kweli mumeo hajakufunza.mistari mitatu matusi mia? Vp kuhusu mradi wa maji karatu,kiwanja mabwepande,kuigawa bavicha na kutaka kumuua zitto

mmekosa hoja mnabaki kuweweseka na majungu, ni aibu kubwa kujibizana na watu wa jamii yako, hamtaki kuongelea mabilion ya uswis, dowans, gas ya mtwara, maisha bora kwa kila m-tz mnabaki kumteta Dr. ,
wenye akili wanabaki kuwashangaa kwa masaburi yenu
 
Hadi muda huu propaganda nyingi amezishinda nyingine zimejibiwa humu humu jamvini na nje ya hapa ,na akiamua kukaa kimya wanajf wanatosha kujibu mapigo yakiwemo ya kadi .yeye atamalizia kazi kidogo iliyobaki
 
Jamani baba huyu ni zawadi kwa watanzania Mungu anaipenda sana nchi yetu imetumika vibaya sasa anasema basi. Naomba tumpe ushirikiano tumwombee katika haya mapito. Bila kujali itikadi zetu. .Dr usikatishwe tamaa bali propaganda hizi
ziwe chachu ya kuja na mbinu nyingine . Wewe ni mkali na ni chaguo la wengi. Mwenyezi Mungu atakulinda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…